TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

Kuna member ile juzi alitabiri hili sijui ni mchawi yule jamaa
 
hivi matangazo aliyoigiza yataendelea kuruka hewani au yatastopishwa?
 
Pumzika kwa aman mzee wetu. Hakika tutakukumbuka daima R. I. P
 
Mzee huyu ni mfano mzuri kuigwa na watu wote kwa kutumia kipaji chake katika maisha take yote,RIP MZEE MAJUTO ,AMEN !
 
Pole kwa Familia,pole kwa Taifa,Prostate,Au Prostate Cancer sijui?nasikia Tezi yaani jamani Haya Magonjwa,
 
Nimejikuta natoa macho katika heading hata siamini.RIP mzee wetu.
 
Dah mtu wangu wa nguvu pumzika kwa Amani 😭
 
Back
Top Bottom