[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mtoa mada umekuja mbio
Hua najiuliza sana hivi na mimiKama nakiona kifo kinaniambia "you are nex"
Siku nikifa sijui itakuwaje? Sijui nitaonana na kitu gani?
Steve atakuja na ratiba ya mazish nakama steve nyerere hajatoa tamko hii habari itakuwa ni ya uwongo..