Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 389
- 370
Kama ni kweli basi hawa askari wa jeshi la wananchi nao ni wapumbavu sana. Hali mbaya ya nchi yetu wanaiona, nchi imepoteza uelekeo, badala ya wamfukuze Rais Samia na wahuni wengine, tuongozwe na wao kijeshi au mtu mwingine mzalendo wa dhati asiye mhuni agombee na kupewa nafasi hiyo, ili Taifa letu lisonge mbele.
Wao Wanakusanyana tena ili kukandamiza jitihada za wananchi, wananchi wasidai mabadiliko ambayo yakioatikana pia yatawahusu hata hao askari pia, au hawa askari wanaishi peponi hawaishi Tanzania ? Hicho wanakichofanya kitakuwa ni ujinga na upuuzi wa hali ya juu.