Tetesi: Amri imetoka juu. Wastaafu JWTZ wanaitwa kuongeza reinforcement

Tetesi: Amri imetoka juu. Wastaafu JWTZ wanaitwa kuongeza reinforcement

Wanabodi
Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano

Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.

Amri
  1. Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa hivi karibuni) na lengo ni kudhibiti uasi unaoonekana kuipasua Jeshi na nchi.
  2. Wastaafu wengi wamefuatilia mafao yao bila mafanikio
  3. Wameahidiwa kuingiziwa mafao yao wakirejea kambini. Lakini wengi wamegomea amri hiyo
  4. Wastaafu wa jeshi la polisi pia wameitwa kujenga solidarity na reinforcement ya askari. Kwa wingi wao wameonesha kugomea.
  5. Hali ya CIC ipo questionable. Aombewe apate nafuu haraka
  6. Jeshi la akiba (mgambo) wamekusanywa wanapewa mafunzo (Kisarawe) kabla hawajawatawanya maeneo mengi nchini
  7. Makruta wanasafirishwa kwenda kwenye majiji. Wanajeshi wengi na baadhi ya polisi wameonesha kuunga mkono wananchi.
  8. Bunge la dharura linaweza kuitishwa muda wowote kuanzia sasa
NB
Nawawekea kipande cha sauti, sikiliza hadi mwisho. (Inagoma kupanda lakini itakuwa hapa soon)

Stay HERE.
Be the first to know via JF
Mafisadi watalia na kusaga meno
 
Hizi taarifa/ habari chanzo chake ni nini?

Au hatupaswi kuhoji na tunapaswa kuziamini mazima tu kama zilivyo?

Na toka lini kuhoji uhakika na chanzo cha habari ikawa ni kosa?

Kuna watu mmejawa na hisia za upepo na gesi mpaka mmeshindwa kufikiri kwa kutumia akili.

Mimi hapa nikija kwa ID tofauti na kutunga stori kuwa nyumbani kwa mkuu wa majeshi kuna vifaru na magari ya deraya yameegeshwa nje, mtaanza kufurahia na kuwatukana wengine wote watakaohoji Ukweli wa taarifa hizo.

Hii nchi bado sana. Nyumbu ni wengi mno kuzidi walio na akili.

Mtu kutaka uhakika wa habari eti nalo ni kosa!! Only katika dunia ya nyumbu tu 🤣.
Haya ni matokeo ya serikali kuona ni Ujanja wa Kuzuia Taarifa, now tutatumia kila njia kushindana
 
Baada ya upupu wa jana kushtukiwa umekuja na upupu mwingine?

 
So wameamua kuendelea kukaza, kwamba kinachofanyika na wao wako tayari kujibu mapigo.

Sasa hapa tulipofika ndo penyewe na ndo tulikuwa tunapataka, wanaonesha kibri na jeuri ya madaraka. Kama ni hao wastaafu basi wajiandae kuja kutueleza na kutoa majibu ya maswali magumu ya Captain.

Na maana hiyo sasa wameamua kuharalisha kwamba huu uchaguzi utakuwa chini ya mitutu dhidi ya raia na kwamba wanataka kuunda serikali itakayotokana na mtutu na si utashi wa raia.

Kweli wametuchoka na wamejikweza sana, sasa tukutane Kati Ili tuelemishane hii nchi hasa ni mali ya nani.

Alutacontinua
 
Tanganyika yetu .......ukombozi now kutoka ccm na deep state.....lazima tuwanyonfe waluoiba rasilimali nchi....iwe fundisho
 
Wanabodi
Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano

Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.

Amri
  1. Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa hivi karibuni) na lengo ni kudhibiti uasi unaoonekana kuipasua Jeshi na nchi.
  2. Wastaafu wengi wamefuatilia mafao yao bila mafanikio
  3. Wameahidiwa kuingiziwa mafao yao wakirejea kambini. Lakini wengi wamegomea amri hiyo
  4. Wastaafu wa jeshi la polisi pia wameitwa kujenga solidarity na reinforcement ya askari. Kwa wingi wao wameonesha kugomea.
  5. Hali ya CIC ipo questionable. Aombewe apate nafuu haraka
  6. Jeshi la akiba (mgambo) wamekusanywa wanapewa mafunzo (Kisarawe) kabla hawajawatawanya maeneo mengi nchini
  7. Makruta wanasafirishwa kwenda kwenye majiji. Wanajeshi wengi na baadhi ya polisi wameonesha kuunga mkono wananchi.
  8. Bunge la dharura linaweza kuitishwa muda wowote kuanzia sasa
NB
Stay HERE.
Be the first to know via JF
Watutolee tu Lissu kwanza, hizi sarakasi zao zaruzishia ghadhabu na hasira dhidi yaooo.. na hiyo tarehe 29 wajue ni humu tu, atucheki na nyani
Screenshot_20251005-175138.png
 
Back
Top Bottom