The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Tatizo mnazani CCM wanatania, Waulizeni Zanzibar, Kama hamtakaza hakuna kitakacho badirika
Kawadanganye nyumbu wenzako huko.Wanabodi
Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano
Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.
Amri
NB
- Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa hivi karibuni) na lengo ni kudhibiti uasi unaoonekana kuipasua Jeshi na nchi.
- Wastaafu wengi wamefuatilia mafao yao bila mafanikio
- Wameahidiwa kuingiziwa mafao yao wakirejea kambini. Lakini wengi wamegomea amri hiyo
- Wastaafu wa jeshi la polisi pia wameitwa kujenga solidarity na reinforcement ya askari. Kwa wingi wao wameonesha kugomea.
- Hali ya CIC ipo questionable. Aombewe apate nafuu haraka
- Jeshi la akiba (mgambo) wamekusanywa wanapewa mafunzo (Kisarawe) kabla hawajawatawanya maeneo mengi nchini
- Makruta wanasafirishwa kwenda kwenye majiji. Wanajeshi wengi na baadhi ya polisi wameonesha kuunga mkono wananchi.
- Bunge la dharura linaweza kuitishwa muda wowote kuanzia sasa
Stay HERE.
Be the first to know via JF
Bunge la dharura kwa wabunge gani?Wanabodi

UzushiWanabodi

🤣🤣.Kawadanganye nyumbu wenzako huko.
Vyanzo vya news:Hakuna ubaya kuhoji chanzo cha habari la sivyo kumeza kila kitu kinacholetwa humu kuwa ndo ukweli wenyewe, ni kilele cha ujuha!
Sasa hivi hapa hata wewe ukija na stori ya. kutunga kuhusu hali iliyopo, kuna segment ya nyumbu itakuamini kwa 110% kwa sababu utakuwa umetunga tungo inayoleta faraja kwenye hisia zao.
Kuhoji chanzo cha habari si ujuha. Ni akili.
Au watu hamjali usahihi na ukweli wa habari?
Mimi nitakua front hata wengine wasipojitokeza nitaandamana pekeyangu wakinipiga risasi najua wale jamaa watakua wamepata pa kuanziaWananchi wakiamua jambo lao, hakuna wakuwarudisha nyuma. Sasaivi kila mtu anatamani hayo maandamano yatokee.. Swali linabaki je wananchi tutajitokeza au tutasubiri nyumbani tuone nani atalianzisha, hata vyombo vyote vya ulinzi vinasubiri watu wajitokeze kwa wingi ili nao wapate lakujitetea kuwa wanaogopa kushtakiwa ICC.
Hakuna kitu kama hicho.Kuna wakati hata polisi huwa wanavalishwa sare za jeshi (JWTZ).
Nakuona inakuuma sana yaan unatamani mpaka kulia huku unatamani kugalagala chini ila wapi watu washaamua jambo lao, mstaafu ambae hajagoma ni Mzee Butiku tu source yake ya taarifa najua unaijuaHakuna ubaya kuhoji chanzo cha habari la sivyo kumeza kila kitu kinacholetwa humu kuwa ndo ukweli wenyewe, ni kilele cha ujuha!
Sasa hivi hapa hata wewe ukija na stori ya. kutunga kuhusu hali iliyopo, kuna segment ya nyumbu itakuamini kwa 110% kwa sababu utakuwa umetunga tungo inayoleta faraja kwenye hisia zao.
Kuhoji chanzo cha habari si ujuha. Ni akili.
Au watu hamjali usahihi na ukweli wa habari?
Nimemsikia mzee Butiku Youtube kwenye yale mazungumzo, kwa kweli nimeshangaa alivyoongea, au sijui kunauchakachuzi kwenye ile video?Nakuona inakuuma sana yaan unatamani mpaka kulia huku unatamani kugalagala chini ila wapi watu washaamua jambo lao, mstaafu ambae hajagoma ni Mzee Butiku tu source yake ya taarifa najua unaijua
Ongezea kwamba ni tapeli 😂Ushaambiwa ni msanii.
Ndiyo, ni Futuhi!
Wasengesenge km nyinyi hua nawaweka kwenye ignore list mazafaka mnasema video ya Captain CJ Tesha ni AI qumamamaezenu kaa ignore hukoKama siku hz vibaka wanajua kinachoendelea kwenye vikao vya juu vya jwtz, basi we are not safe.
Hv mnadhani hao ni HAMASA WA baa ya vichaa?
Mzee kakamatishwa buyu la asali ila baada ya mahojiano alipoenda kujifungia ndani na kunywa dawa zake za Kisukari alilia km Petro alivyomlilia MasiyaNimemsikia mzee Butiku Youtube kwenye yale mazungumzo, kwa kweli nimeshangaa alivyoongea, au sijui kunauchakachuzi kwenye ile video?