Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Ndio maana mzee kasema kuna deal kapotea
Nakuamini, tumetoka mbali na weweKunataarifa kweli kuwa yupo chini ya uangalizi wa madaktari , wengi wanaombea na iwe hivyo tuanze upya .
Naogopa kusema na iwe hivyo ,wengine wanasema deep state wameusoma mchezo wanataka kumtanguluza ili kufuta ushahidi.
😂😂😂😂Naogopa kusema na iwe hivyo ,
Hayo matusi hayatuksaidia chochote, na bado hujachanganyikiwa, yaani baado..Wasengesenge km nyinyi hua nawaweka kwenye ignore list mazafaka mnasema video ya Captain CJ Tesha ni AI qumamamaezenu kaa ignore huko
Kwa hapa tulipofikia, lolote linaloleta faraja kwenye mioyo yetu, linafaa tu mkuu.Hakuna ubaya kuhoji chanzo cha habari la sivyo kumeza kila kitu kinacholetwa humu kuwa ndo ukweli wenyewe, ni kilele cha ujuha!
Sasa hivi hapa hata wewe ukija na stori ya. kutunga kuhusu hali iliyopo, kuna segment ya nyumbu itakuamini kwa 110% kwa sababu utakuwa umetunga tungo inayoleta faraja kwenye hisia zao.
Kuhoji chanzo cha habari si ujuha. Ni akili.
Au watu hamjali usahihi na ukweli wa habari?
UongoKama ni kweli basi hawa askari wa jeshi la wananchi nao ni wapumbavu sana. Hali mbaya ya nchi yetu wanaiona, nchi imepoteza uelekeo, badala ya wamfukuze Rais Samia na wahuni wengine, tuongozwe na wao kijeshi au mtu mwingine mzalendo wa dhati asiye mhuni agombee na kupewa nafasi hiyo, ili Taifa letu lisonge mbele.
Wao Wanakusanyana tena ili kukandamiza jitihada za wananchi, wananchi wasidai mabadiliko ambayo yakioatikana pia yatawahusu hata hao askari pia, au hawa askari wanaishi peponi hawaishi Tanzania ? Hicho wanakichofanya kitakuwa ni ujinga na upuuzi wa hali ya juu.
Wachukue na waliopitia jkt huko mtaani wako kibao chukua mfano ule mtiti pale ilala boma kipindi aliewahi kuwa mkuu wa mkoa dsm makonda alipowaita mji ulizizima hao vijanaWanabodi
Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano
Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.
Amri
NB
- Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa hivi karibuni) na lengo ni kudhibiti uasi unaoonekana kuipasua Jeshi na nchi.
- Wastaafu wengi wamefuatilia mafao yao bila mafanikio
- Wameahidiwa kuingiziwa mafao yao wakirejea kambini. Lakini wengi wamegomea amri hiyo
- Wastaafu wa jeshi la polisi pia wameitwa kujenga solidarity na reinforcement ya askari. Kwa wingi wao wameonesha kugomea.
- Hali ya CIC ipo questionable. Aombewe apate nafuu haraka
- Jeshi la akiba (mgambo) wamekusanywa wanapewa mafunzo (Kisarawe) kabla hawajawatawanya maeneo mengi nchini
- Makruta wanasafirishwa kwenda kwenye majiji. Wanajeshi wengi na baadhi ya polisi wameonesha kuunga mkono wananchi.
- Bunge la dharura linaweza kuitishwa muda wowote kuanzia sasa
Stay HERE.
Be the first to know via JF
Britannica keshatekwaHii ni story ya uongo mpaka Mhe. britanicca atakapothibitisha
ChaiWanabodi

😆😆😆😆😆😆Mama Dully amepata degedege kali sana jana na hataki kunywa dawa anafakamia K Vant tu
AiseeNakumbuka kuna maandamano fulani yule commando muuza madafu alivalishwa nguo za FFU View attachment 3484065
Mashuka yameisha? Nataka ninunue mashuka yote alafu nikununue kabisa na wewe unisaidie kuyapasha moto mashuka.UONGO WA WAZI ILA mafunzo ya QRF yapo tokaa mda na ni lazima
Kila kikosi kiwe na watu wa QRF ila ni vile mapuuza tu
Kuhusu wanajeshi walio staafu ni uongo bhna hakuna walio itwa vikosini hivi mna toleaga wapi hizo taarifa mnalishana matango pori vijiwe vya boda boda
Tanzania nchi ya ajabu sana, hivi wewe bado unaamini kabisa kitu Tesha? hujiulizi tu akili ya kawaida kabisa kuna mwanajeshi akatoka kutishia uasi au kupindua serikali na asishikwe? kawaida mapinzui yanakuwa siri ikigundulika ujue wote kifo. Hakuna duniani mtu akatangaza nia ya mapinduzi hakuna. Tesha ni mtego bahati mbaya watu wameingia mkenge ndio umeona baada ya kutokea hadharani yakafuata mengi sana... tujiongeze kidogo sio kudandia, hatupendi kutafakari mambo .......Hakuna wanaloweza kubadilisha hao wastaafu kinyume na yale matakwa aliyotamka Captain Tesha
Hao wastaafu ni kikundi kidogo sana kuliko kundi kubwa la wananchi ambao wanasapoti tamko la Captain.
Wakiziba masikio watajikuta katika wakati mgumu hapo baadaye mambo yakigeuka.
Dah utani wa ngumiMashuka yameisha? Nataka ninunue mashuka yote alafu nikununue kabisa na wewe unisaidie kuyapasha moto mashuka.
Nakutania tajiri mashuka. 😂😂