Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 389
- 370
Weka hiyo barua hapa acha ujinga wa kutunga mambo ya hovyoWanabodi
Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano
Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.
Amri
NB
- Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa hivi karibuni) na lengo ni kudhibiti uasi unaoonekana kuipasua Jeshi na nchi.
- Wastaafu wengi wamefuatilia mafao yao bila mafanikio
- Wameahidiwa kuingiziwa mafao yao wakirejea kambini. Lakini wengi wamegomea amri hiyo
- Wastaafu wa jeshi la polisi pia wameitwa kujenga solidarity na reinforcement ya askari. Kwa wingi wao wameonesha kugomea.
- Hali ya CIC ipo questionable. Aombewe apate nafuu haraka
- Jeshi la akiba (mgambo) wamekusanywa wanapewa mafunzo (Kisarawe) kabla hawajawatawanya maeneo mengi nchini
- Makruta wanasafirishwa kwenda kwenye majiji. Wanajeshi wengi na baadhi ya polisi wameonesha kuunga mkono wananchi.
- Bunge la dharura linaweza kuitishwa muda wowote kuanzia sasa
Nawawekea kipande cha sauti, sikiliza hadi mwisho. (Inagoma kupanda lakini itakuwa hapa soon)
Stay HERE.
Be the first to know via JF
Source? Proof?Wanabodi

Mkuu Msanii, asante kwa taarifa hii nyeti.Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.
Hahaha...hivi Tanzania kuna mgambo kweli? Hawa wazee wa miaka 80+ ndio wanawaita mgamboNoma,mgambo nawaonaga huko mashariki ya kati , hawa wengine wanywa gongo tu
Wanamgambo wa TalibaniNoma,mgambo nawaonaga huko mashariki ya kati , hawa wengine wanywa gongo tu
😀😀Mgambo wetu ni vibaka waliochangamkaNoma,mgambo nawaonaga huko mashariki ya kati , hawa wengine wanywa gongo tu
Kama ni wa hovyo, wataitikia. Nawashauri Waikiki na kuchukua nchiKama ni kweli basi hawa askari wa jeshi la wananchi nao ni wapumbavu sana. Hali mbaya ya nchi yetu wanaiona, nchi imepoteza uelekeo, badala ya wamfukuze Rais Samia na wahuni wengine, tuongozwe na wao kijeshi au mtu mwingine mzalendo wa dhati asiye mhuni agombee na kupewa nafasi hiyo, ili Taifa letu lisonge mbele.
Wao Wanakusanyana tena ili kukandamiza jitihada za wananchi, wananchi wasidai mabadiliko ambayo yakioatikana pia yatawahusu hata hao askari pia, au hawa askari wanaishi peponi hawaishi Tanzania ? Hicho wanakichofanya kitakuwa ni ujinga na upuuzi wa hali ya juu.
TrueSamia atoboi na atakiwi kutoboa kwa maslai mapana ya taifa na uzalendo
Amri imetoka kwa nani!?Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.
P+o+r+o+j+o
Hivi ulidungwa MACHANJO YA CORONA?Source? Proof?
Nimetamani nami kuuliza hili, au kituo kinachofwata ni wapi, sijui atakuwa na energy au pawaHivi kwenye kampeni za leo Maza alikuwa wapi? Nimeangalia taarifa ya habari holaaaa.
Yuko tia maji tia maji lolote laweza kutoea tuzidishe dua nchi ipone.Hivi kwenye kampeni za leo Maza alikuwa wapi? Nimeangalia taarifa ya habari holaaaa.
😂 Wabongo bhana 😂NB
Nawawekea kipande cha sauti, sikiliza hadi mwisho. (Inagoma kupanda lakini itakuwa hapa soon)
Yaani huyu mburula anahangaika kama kuku anayetaka kutaga, naona harufu ya mimavi ya vidingi vya kizungu imemchosha anataka kurudi sasa anajisogeza kwa mafisadi.Hivi ulidungwa MACHANJO YA CORONA?
Kuna wakati hata polisi huwa wanavalishwa sare za jeshi (JWTZ).Hili la JkT kawaida kutumika nakumbuka 2020 kuna kikosi kilenda kuchukuliwa kisha wakavishwa sare za Police kule Zanzibar.