Amri kiemba: Azam wakiwa wanajiandaa kucheza na Yanga maandalizi ni kama final, tofauti wakicheza na Simba

Amri kiemba: Azam wakiwa wanajiandaa kucheza na Yanga maandalizi ni kama final, tofauti wakicheza na Simba

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Akizungumza kwenye kipindi cha uchambuzi pale Clouds TV & FM.

Aliyewahi kuwa kiungo wa Simba, Azam na Taifa Stars, Amri Kiemba amefichua wazi kwamba maandalizi ya mechi ya Yanga na Azam, wao Azam huwa wanafanya kama finali tofauti na Simba sababu kubwa anaijua yeye...

"Mimi nimecheza mpira Azam na Simba, nilipokuwa Azam maandalizi ya mechi na Yanga yalikuwa makubwa yaani kama finali, ila tukiwa tunacheza na Simba basi inakuwa kawaida tu kama mechi zingine tu. Hivyo ingekuwa ni yanga na Azam inapigwa basi kungekuwa na promo na maandalizi mengi," - anasema.

Amehitimisha mchezaji huyo mkongwe..

Je, hii inakupa picha gani? Kwamba simba na azam ni kama mtu na mkewe? Ama azam ilianzishwa kumpa upinzani Yanga?

Napata mashaka sana na mechi hiyo azam lazima wataachia wafungwe, hivi mara ya mwisho Azam kuwafunga Simba lini?

Hapa mechi hii inabidi ichunguzwe sana kiuhalisia Simba hii mbovu na Azam mbovu hapo Azam anatakiwa ashinde laknil utaona wanaaachia wafungwe makusudi...
 
Ni unyonge ndio unaopelekea hali hiyo

Azam kumchukulia Yanga kama mpinzani mkubwa ni sahihi kwasababu wanatoshana kinguvu

Azam kuichukulia mechi na Simba katika level tofauti na kiupinzani ni ushahidi kuwa wao ni wanyonge kwa Simba hakuna wanaloweza kulifanya likawa kiasi cha kuona impact ya upinzani wao dhidi ya Simba

Unapokuwa kwenye maandalizi na timu ambayo ni level zako (japo umeizidi kidogo) lazima kuwe na utofauti wa kimolari na pale unapokuwa upo kwenye season na mpinzani aliyekuzidi

Hayo mameno ya kusema fainali angeyasema kwa kui refer simba kwangu mimi inge sound ridiculous sana.

Azam kui treat mechi yake na Yanga kwa viwango vya fainali naunga mkono hoja hiyo kwasababu katika duru la soka wote wako level moja utofuti hii timu nyinginr ina amini sana kwenye historia za miaka ya BC kama makala za jamaa mmoja anaitwa mohhammed said

Hii mechi na Azam sisi tunaichukulia kama mechi zingine na timu ndogo tulizocheza nazo kama Yanga, Ruvu, Geita nk
 
Ni unyonge ndio unaopelekea hali hiyo

Azam kumchukulia Yanga kama mpinzani mkubwa ni sahihi kwasababu wanatoshana kinguvu...
Ina maana kwamba azam wanaichukulia simba kawaida zaidi na ndio maana maandalizi ni ya kawaida kabisa,

Yaani eti pisi kali inakuja then usijiandae, halafu ije pisi mbovu ujiandae? Unajiandaa nini sasa?

Pia tunajua wazi hata bakhresa mwenyewe ana kadi ya simba kuna nini hapo?

Team ndogo (azam) hufanya maandalizi makubwa pale zinapokutana na wakubwa (yanga).

Wakati team ndogo kama azam, simba,geita,ruvu, polisi,mbeya kwanza and the like zinafanya maandalizi ya kawaida tu sababu hakuna la maana na zote zina uwezo sawa waogope nini?
 
Ina maana kwamba azam wanaichukulia simba kawaida zaidi na ndio maana maandalizi ni ya kawaida kabisa,

Yaani eti pisi kali inakuja then usijiandae, halafu ije pisi mbovu ujiandae? Unajiandaa nini sasa...
Sasa kama ikiwa kila juhudi za kiushindani unazofanya ili kujiweka kwenye level sawa na mpinzani zinakugomea unadhani sio busara kukubali matokeo?

Wao washaona hilo limewezekana kwa timu yenu ambayo ndio level zao na ndio maana wanasema fainali kwasababu uzito wenu ni sawa

Sisi hatujisemi sisi kuwa ni wakubwa kisoka ila wakubwa wenzetu ndio wanatutangazia ukubwa wetu

Na ndio maana kocha wa Al Ahly alisema hakuna sehemu ngumu kupata matokeo kama kwa mkapa na mpinzani wake akiwa Simba

Sio maneno yetu, huyo ni kocha tena wa nchi za mbali kutoka ukanda huu, hiyo ni recognization ambayo wakubwa wanaona ukubwa wetu

Sasa wakubwa hao wakisikia tunapambania kuwa level moja na Azam au Yanga ambazo hawajawahi kuzisikia (kwasababu wote wanajua Tz kuna timu moja tu simba) unafikiri ni kiasi gani cha heshimba ambacho tutakuwa tumejishushia?

Huoni utofauti wa club yako kusifiwa na Amri kiemba na kocha wa club kubwa ya kwanza africa Al Ahly?

Ebu jaribu kufikiria hapo kwanza
 
Sasa kama ikiwa kila juhudi za kiushindani unazofanya ili kujiweka kwenye level sawa na mpinzani zinakugomea unadhani sio busara kukubali matokeo...
Unaposema wakubwa wenzenu ni ahly ahly and the like
Tunajua ahly ahly ni mabingwa karibu mara jumi CAF na wameingia final mara tatu mfululizo wakati simba haeajahawa kunusa final achilia mbali kufika nusu .!

Ahly ahly wana uwanja simba mpaka wakitembeza bakuri na hela haikufika hata bilioni 5! Kweli wakubwa wenzenu hao.😂😂.

Ahly ahly anachezaga CAF wakati simba anacheza shirikisho na bado akafumuliwa na team ya hovyo orando ambayo msimu ujao haina uhakika kushiriki tena 😂😂.

Mbaya zaidi na faini juu sababu ya uchawi na matambiko, si wenzenu ahly ahly huwa wanaroga eeh na wakapigwa faini?😂😂

Hebu nicheke
 
Azam hawana tofauti na pamba uwanjani,ilaa kwenye maendeleo menginee wapo mbaliiii
 
Ina maana kwamba azam wanaichukulia simba kawaida zaidi na ndio maana maandalizi ni ya kawaida kabisa,

Yaani eti pisi kali inakuja then usijiandae, halafu ije pisi mbovu ujiandae? Unajiandaa nini sasa...
Jamaa kaongea kiushabiki sana mpk naona upuuzi kumquote ,wakati kuna kipindi Simba ilikuwa mbovu kupita kiasi miaka ile Yanga inachukua makombe mfululuzo lakini gemu zake Azam na Simba ile mbovu Azam bado alikuwa mdebwedo na hali ipo karibia miaka yote tofauti inavyokuwa na Yanga wachezaji wanacheza kufa na kupona mpk uwanjani kuna kuwa kama ulingo wa ngumu full kupanic tofauti na morali yao pindi inapokutana na Simba.
 
Unaposema wakubwa wenzenu ni ahly ahly and the like
Tunajua ahly ahly ni mabingwa karibu mara jumi CAF na wameingia final mara tatu mfululizo wakati simba haeajahawa kunusa final achilia mbali kufika nusu...
Kumbe kwa vigezo hivyo utaona Simba ambayo imefika robo mara 4 mfululizo sio ya kuiweka kwenye mizani moja na timu zingine

Naona umeelewa sasa kuwa timu yako ili ipate authority ya kujifananisha na mimi inatakiwa iwe imefikia hizo record tena record ziwe za recently usituambie habari za 47BC hapa
 
Akizungumza kwenye kipindi cha uchambuzi pale clouds TV &FM.
Aliyewahi kuwa kiungo wa simba,azam,na team ya taifa amri kiemba amefichua wazi kwamba maandalizi ya mechi ya yanga na azam,wao azam huwa wanafanya kama finali tofauti na simba sababu kubwa anaijua yeye...

Mwanzoni Azam inaanzishwa nilikuwa naipenda kuishabikia. Lakini baada kuona inafungwa ovyo oyo tu pamoja na kuwa moja ya timu ambazo zina kila kitu hasa hasa kwa wachezaji.

Nimeamua kuhamia Yanga SC. Kiukweli na enjoy kuwa mwananchi. Pamoja na hao Azam kuonyesha wazi wazi ule Friends of Simba hainitishi. Msimu Mzigo ni wetu.

#LeohadikeshomiminiMwananchi
 
Akizungumza kwenye kipindi cha uchambuzi pale clouds TV &FM.
Aliyewahi kuwa kiungo wa simba,azam,na team ya taifa amri kiemba amefichua wazi kwamba maandalizi ya mechi ya yanga na azam,wao azam huwa wanafanya kama finali tofauti na simba sababu kubwa anaijua yeye..

"Mimi nimecheza mpira azam na simba, nilipokuwa azam maandalizi ya mechi na yanga yalikuwa makubwa yaani kama finali, ila tukiwa tunacheza na simba basi inakuwa kawaida tu kama mechi zingine tu,
Hivyo ingekuwa ni yanga na azam inapigwa basi kungekuwa na promo na maandalizi mengi"
Amehitimisha mchezaji huyo mkongwe..

Je hii inakupa picha gani? Kwamba simba na azam ni kama mtu na mkewe? Ama azam ilianzishwa kumpa upinzani yanga?

Napata mashaka sana na mechi hiyo azam lazima wataachia wafungwe, hivi mara ya mwisho azam kuwafunga simba lini?

Hapa mechi hii inabidi ichunguzwe sana kiuhalisia simba hii mbovu na azam mbovu hapo azam anatakiwa ashinde laknil utaona wanaaachia wafungwe makusudi..
Ukweli mchungu huu!
 
Azam na Yanga wanakamiana,siyo yanga anakamiwa ndo maana wameanzisha utani wa jadi .

Timu zote level moja tu tofauti mmoja wa siku nyingi.
 
Ni unyonge ndio unaopelekea hali hiyo

Azam kumchukulia Yanga kama mpinzani mkubwa ni sahihi kwasababu wanatoshana kinguvu

Azam kuichukulia mechi na Simba katika level tofauti na kiupinzani ni ushahidi kuwa wao ni wanyonge kwa Simba hakuna wanaloweza kulifanya likawa kiasi cha kuona impact ya upinzani wao dhidi ya Simba

Unapokuwa kwenye maandalizi na timu ambayo ni level zako (japo umeizidi kidogo) lazima kuwe na utofauti wa kimolari na pale unapokuwa upo kwenye season na mpinzani aliyekuzidi

Hayo mameno ya kusema fainali angeyasema kwa kui refer simba kwangu mimi inge sound ridiculous sana.

Azam kui treat mechi yake na Yanga kwa viwango vya fainali naunga mkono hoja hiyo kwasababu katika duru la soka wote wako level moja utofuti hii timu nyinginr ina amini sana kwenye historia za miaka ya BC kama makala za jamaa mmoja anaitwa mohhammed said

Hii mechi na Azam sisi tunaichukulia kama mechi zingine na timu ndogo tulizocheza nazo kama Yanga, Ruvu, Geita nk
Usitake kupotosha ,kuna timu zimeanzishwa kwa ajili ya yanga, azam na coastal ni miongoni mwao, azam ikifungwa na simba bakhresa anarukaruka kwa furaha!
 
Nje ya mada ile kamati ya masaa 72 ipo siku Hizi?!!!
 
Mbona kipindi team zinaahidiwa million 10 zikimfunga simba hukuleta huu utopolo wako yanga mnapenda kulalamika sana kwa style hyo yule kocha wa Orlando pirates anawafaa.
 
Jamaa kaongea kiushabiki sana mpk naona upuuzi kumquote ,wakati kuna kipindi Simba ilikuwa mbovu kupita kiasi miaka ile Yanga inachukua makombe mfululuzo lakini gemu zake Azam na Simba ile mbovu Azam bado alikuwa mdebwedo na hali ipo karibia miaka yote tofauti inavyokuwa na Yanga wachezaji wanacheza kufa na kupona mpk uwanjani kuna kuwa kama ulingo wa ngumu full kupanic tofauti na morali yao pindi inapokutana na Simba.
Nashukuru kwa kuona hilo ameamua kubisha tu lakini ukweli huonekana wazi.
Mechi ya azam na simba itakuwa ya kawaida azam wataachia tena mkuu.

Wanavyoipamba simba utadhani ilitawala miaka kumi kumbe ni misimu michache hapa
 
Usitake kupotosha ,kuna timu zimeanzishwa kwa ajili ya yanga, azam na coastal ni miongoni mwao, azam ikifungwa na simba bakhresa anarukaruka kwa furaha!
Kumbe na coastal pia duh rudi nyuma mechi mbili za yanga na azam.

Zilikuwa mechi dume na ngumu mno.
Lakini subiri hiyo ya simba na azam uone ujinga wanaofanya azam
 
Back
Top Bottom