Amri Kiemba: Hali ni mbaya tunaomba waamuzi waongezewe ujuzi kumbe wanabet

Amri Kiemba: Hali ni mbaya tunaomba waamuzi waongezewe ujuzi kumbe wanabet

Refa anaingia uwanjani kaweka bet hata ya 2M anajua ngoma ni sure bet hio......halafu uwanjani mambo yabadilike lazima afanye namna tu aokoe hela yake isiliwe
 
Kwahiyo hela ya kubet huwa wanachukua wapi?
Wanaosoma vyuo wanatoa kwenye boom zao na wanaosoma sekondari wanachukua kwenye hela wanazopewa na wazazi wao. Wale wanaofanya kazi wanatoa kwenye vipato vyao.
 
Hizi mechi za Tanzania nashangaa wanaobet. Jamaa huwa wanaweka mzigo wa maana.
Kumbe mechi huku imeamuliwa tayari.

Unaweza shangaa mechi mfano ile ya Tabora yanga anakufa makusudi kbs, ila anapewa uhakika wa kushinda mechi zingine.
 
Back
Top Bottom