Mshasha wane
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 234
- 633
Huenda ikawahivyo maaana azam siku izi wachambuzi wake wengi wemeondokaNaomba kuuliza Amri kiemba kahama clouds au maana namuona azam hapa?
Azam Tv hawana upinzani na clouds fmKumbe umemuona mkuu jibu umelipata ushawahi ona mfanyakazi wa tigo analipwa na voda
Sio kweli atakuwa ameacha kazi cloudsAzam Tv hawana upinzani na clouds fm
Eeh! Tena!!Ila leo mchana alikuwepo clouds na amefanya kipindi
Hayupo kwenye mashindano ya mavazi bali kuchambua mpiraKiemba,Jamaa anachambua vzr anaeeza mpira sana uchambuz
Ila kuvaa ndo 0
Sent from Iphone 14 max
awe serous dressing codesKiemba,Jamaa anachambua vzr anaeeza mpira sana uchambuz
Ila kuvaa ndo 0
Sent from Iphone 14 max
ukiwa kwenye media lazima ujali uvaaji kama wewe hutojali basi wajiri wako na watazamaji watajali. Sijawahi ona msoma habari kavaa msuli au chuga styleHayupo kwenye mashindano ya mavazi bali kuchambua mpira