Amri Kiemba kahama Clouds?

Amri Kiemba kahama Clouds?

Mkataba wake na mawingu utakua umeisha ndo kaenda zake kula pesa azam
 
Pengine siku hizi mikataba haiwabani sana, wanasaini kama makondakta wa daladala.

Kuna TV ya mtandaoni inachambua michezo tu inaitwa valor tv, hawa wachambuzi wake ni kutokea media kubwa tu za michezo kama azam, majizo nk
 
Back
Top Bottom