Amri Kiemba kahama Clouds?

Amri Kiemba kahama Clouds?

Watangazaji wengi wataanza kutojifunga na makampuni, wao wataweka kipengele cha kucheza pande zote

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hii inawezekana kutokana na mahusiano ya hayo makampuni na ushindani wake hivyo usitegemee kuliona sana kwa media zingne hilo jambo kirahisi
 
Hii inawezekana kutokana na mahusiano ya hayo makampuni na ushindani wake hivyo usitegemee kuliona sana kwa media zingne hilo jambo kirahisi
Azam yuko ligi yake mwenyewe, hashindani na mtu...
Wasafi
Efm
Clouds

Hawa ndo washindani haswaaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom