Itakuwa anachambua kote kote.
Amekuchambua kotekoteItakuwa anachambua kote kote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa anachambua kote kote.
Amekuchambua kotekoteItakuwa anachambua kote kote.
Mawingu hakuna mkataba pale, alikuwa anapewa posho kishkaji tuMkataba wake na mawingu utakua umeisha ndo kaenda zake kula pesa azam
Bado anaendelea na kazi clouds na leo nimemsikia kwenye Hili Game ya Power BreakfastSio kweli atakuwa ameacha kazi clouds
Kwani ana kipi cha ajabu?Kama ni kweli Azam wamemchukua Kiemba basi wamelamba dume,
Kuhusu kuacha kazi clouds bado sijajua
Ni mchambuzi mzuri anauelewa mkubwa wa mchezo na pia amewahi kuwa mchezaji kwenye ngazi kubwa inambeba sana katika uchambuzi wake
Hii inawezekana kutokana na mahusiano ya hayo makampuni na ushindani wake hivyo usitegemee kuliona sana kwa media zingne hilo jambo kirahisiWatangazaji wengi wataanza kutojifunga na makampuni, wao wataweka kipengele cha kucheza pande zote
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Eeee , anachambua kotekote? Umejuaje?Itakuwa anachambua kote kote.
Kama mchambuzi yupo free anaweza chambua mpira kwenye vyombo vya habari tofauti tofauti kama muda anao. Cha muhimu analipwa.Eeee , anachambua kotekote? Umejuaje?
Azam yuko ligi yake mwenyewe, hashindani na mtu...Hii inawezekana kutokana na mahusiano ya hayo makampuni na ushindani wake hivyo usitegemee kuliona sana kwa media zingne hilo jambo kirahisi
Jana alivaa suti la kisukuma.Alikuwa hovyo hata kumtazana na marasta yake ilikuwa kama kumtazama mama Mchungaji.Hayupo kwenye mashindano ya mavazi bali kuchambua mpira
[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe umemuona mkuu jibu umelipata ushawahi ona mfanyakazi wa tigo analipwa na voda