Amri Kiemba: Mechi kati ya Simba na Wydad ni Ngumu

Amri Kiemba: Mechi kati ya Simba na Wydad ni Ngumu

Ukweli ni kwamba Ugenini Wydadcasablanca uwa anafungwa au kutoa Sare ila uwa anafungwa kwa idadi ndogo na ukilegea anakufunga apoapo kwako. Zipo timu zilizowahi kumfunga Wydad zikiwa nyumbani kama vile Rivers, Petro,Horoya n.k
Shida inakuja wakiwa nyumbani kwao ni wachache sana waliofungwa chini ya goli tatu.
 
Hao wydad watashindwa kuendana na hali ya pitch, simba wanaweza kushinda mechi hii.
Kushinda wanaweza kushinda but kwa goli ngapi apo ndio kwenye mtihani mgumu, ili ujihakikishie kumtoa mwarabu angalau umpige goli kuanzia 4 nyumbani kwako ili ukienda ugenini uwe mlima mrefu kwao lakini sioni whydad wakiruhusu goli zaidi ya 2 hapa kwa mkapa, kwa maana ya namna wanavyochezaga mechi za ugenini, wanakwenda kukusubili kwao wakuondoe kwa mbinu zozote zile
 
Wydad Casablanca huwezi kuwafunga kwa kutegemea uchawi, na ukitegemea viwango vya wachezaji ndio unakufa zaidi.

Simba wajiandae kwa kusajiri wachezaji wenye viwango msimu ujao.

Kwa msimu huu shughuri ndio imeishia hapo.
Na sisi Yanga kesho tunakandwa tusikalie ya Simba
 
Uchambuzi hauna kuegemea upande, ametoa facts hapo, sema ni vile hajasema kitu unachotaka kukisikia.
Kiemba angefunguka tu, ukweli uko wazi Simba Leo wako kwao na watakandwa tatu mzuka kama kawaida ya waarabu wanavyopiga bila huruma mbele ya mke na wakwe zako!

Mi natangulia kibanda umiza now! Raha kama zote, ukijifanya mkubwa unaJua ngumi unapewa Tyson uimbe nae!
 
Kweli kabisa. Eti “Kwa hiyo Simba kushinda uwanja wa Benjamin Mkapa inawezekana lakini matokeo ya jumla yatategemea zaidi mechi ya pili.” Sasa nani asiyejua hilo?
Huo ndio mzani bora kwa mtu muelewa, anachambua kwa uhalisia.
 
Kiemba angefunguka tu, ukweli uko wazi Simba Leo wako kwao na watakandwa tatu mzuka kama kawaida ya waarabu wanavyopiga bila huruma mbele ya mke na wakwe zako!

Mi natangulia kibanda umiza now! Raha kama zote, ukijifanya mkubwa unaJua ngumi unapewa Tyson uimbe nae!
Vipi una lakusema au unasonya tu? Yaani mmeshindwa kuwafunga simba mnasakizia wenzenu. Kwanini lakini nyie utopolo? Kama mlivyonyolewa nyie na wenzenu pia wamenyolewa. Paracetamol ni nzuri kwako.
 
Vipi una lakusema au unasonya tu? Yaani mmeshindwa kuwafunga simba mnasakizia wenzenu. Kwanini lakini nyie utopolo? Kama mlivyonyolewa nyie na wenzenu pia wamenyolewa. Paracetamol ni nzuri kwako.
Mvua kubwa kama Kawa , huu uchawi hauvumiliki hatuoni Tena Raha ya boli wachezaji ni full kuteleza na kucheza kwa tahadhari kubwa! Mpira ukiisha tu na mvua kwishney! Huyu mganga mshampa Prado for now! Bangala alipoomba kutolewa aliulizwa vipi shida Nini akasema mpira siuoni!

Nondo alisema hakuwa akielewa Yuko home au uwanjani! Ile kauli ya kukafini maiti ilikuwa na maana nzito sana Sasa imejulikana benki imevunjwa kwa uchawi wa kiwango cha lami! Ni mvua mvua mvua jua hamna!

Wydad wanagongana wenyewe kwa wenyewe inadaiwa eti jamaa wa Wydad aliemvaa mwenzake aliona kavaa red!

Shida ni huko Morocco Simba waende na kapu la kubeba magoli watapigwa week!! Mwarabu kwao akishindwa mpira anatumia refa hutoki labda na huko mvua inyeshe!!

Mtangazaji aliwaonea huruma Simba akasema angalau wangepata goli mbili Ili kwa goli moja safari yao imefika mwisho!!
 
Back
Top Bottom