Diazepam
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,263
- 3,523
Huu mwaka mpaka muwehuke.Mvua kubwa kama Kawa , huu uchawi hauvumiliki hatuoni Tena Raha ya boli wachezaji ni full kuteleza na kucheza kwa tahadhari kubwa! Mpira ukiisha tu na mvua kwishney! Huyu mganga mshampa Prado for now!
Wydad wanagongana wenyewe kwa wenyewe inadaiwa eti jamaa wa Wydad aliemvaa mwenzake aliona kavaa red!
Shida ni huko Morocco Simba waende na kapu la kubeba magoli watapigwa week!! Mwarabu kwao akishindwa mpira anatumia refa hutoki labda na huko mvua inyeshe!!
Mtangazaji aliwaonea huruma Simba akasema angalau wangepata goli mbili Ili kwa goli moja safari yao imefika mwisho!!