Huo ndio uchambuzi Sasa sikiliza hata wakina Owen wanavyochambua siyo unaleta ushabiki maandaziJamaa muoga sana. Anaogopa kupigwa mawe. Anaongelea kwenye ncha haeleweki ana msimamo gani.
Kushinda wanaweza kushinda but kwa goli ngapi apo ndio kwenye mtihani mgumu, ili ujihakikishie kumtoa mwarabu angalau umpige goli kuanzia 4 nyumbani kwako ili ukienda ugenini uwe mlima mrefu kwao lakini sioni whydad wakiruhusu goli zaidi ya 2 hapa kwa mkapa, kwa maana ya namna wanavyochezaga mechi za ugenini, wanakwenda kukusubili kwao wakuondoe kwa mbinu zozote zileHao wydad watashindwa kuendana na hali ya pitch, simba wanaweza kushinda mechi hii.
Na sisi Yanga kesho tunakandwa tusikalie ya SimbaWydad Casablanca huwezi kuwafunga kwa kutegemea uchawi, na ukitegemea viwango vya wachezaji ndio unakufa zaidi.
Simba wajiandae kwa kusajiri wachezaji wenye viwango msimu ujao.
Kwa msimu huu shughuri ndio imeishia hapo.
Kwa mkapa hatoki mtu kama unabisha muulize YangaLeo kunamtu atatoa damu kwa mkapa
Ngoja tuwaulize Raja Casablanca, binadamu tumeumbwa kusahau.Kwa mkapa hatoki mtu kama unabisha muulize Yanga
Sio yangaNgoja tuwaulize Raja Casablanca, binadamu tumeumbwa kusahau.
Amka utajinyea, unaota.FT Simba 3 -1 Wydad Casablanca
Kiemba angefunguka tu, ukweli uko wazi Simba Leo wako kwao na watakandwa tatu mzuka kama kawaida ya waarabu wanavyopiga bila huruma mbele ya mke na wakwe zako!Uchambuzi hauna kuegemea upande, ametoa facts hapo, sema ni vile hajasema kitu unachotaka kukisikia.
Huo ndio mzani bora kwa mtu muelewa, anachambua kwa uhalisia.Kweli kabisa. Eti “Kwa hiyo Simba kushinda uwanja wa Benjamin Mkapa inawezekana lakini matokeo ya jumla yatategemea zaidi mechi ya pili.” Sasa nani asiyejua hilo?
Vipi una lakusema au unasonya tu? Yaani mmeshindwa kuwafunga simba mnasakizia wenzenu. Kwanini lakini nyie utopolo? Kama mlivyonyolewa nyie na wenzenu pia wamenyolewa. Paracetamol ni nzuri kwako.Kiemba angefunguka tu, ukweli uko wazi Simba Leo wako kwao na watakandwa tatu mzuka kama kawaida ya waarabu wanavyopiga bila huruma mbele ya mke na wakwe zako!
Mi natangulia kibanda umiza now! Raha kama zote, ukijifanya mkubwa unaJua ngumi unapewa Tyson uimbe nae!
Naona amecheza kipa leoSimba kushinda leo labda wydad acheze kipa tu.
Ameshafungwa vipi huko kwenu nanjilinji mpira bado haujaisha tu?Hivi Simba mnategemea kumfunga Wydad Casablanca?
Hivi Simba mnategemea kumfunga Wydad Casablanca?
Mvua kubwa kama Kawa , huu uchawi hauvumiliki hatuoni Tena Raha ya boli wachezaji ni full kuteleza na kucheza kwa tahadhari kubwa! Mpira ukiisha tu na mvua kwishney! Huyu mganga mshampa Prado for now! Bangala alipoomba kutolewa aliulizwa vipi shida Nini akasema mpira siuoni!Vipi una lakusema au unasonya tu? Yaani mmeshindwa kuwafunga simba mnasakizia wenzenu. Kwanini lakini nyie utopolo? Kama mlivyonyolewa nyie na wenzenu pia wamenyolewa. Paracetamol ni nzuri kwako.