Amri Kiemba: Mechi kati ya Simba na Wydad ni Ngumu

Huu mwaka mpaka muwehuke.
 
[emoji3][emoji3]

Huwa nahisi wanayanga mnaonewa ila kumbe ni nyie ndo mnazingua.

Kabla ya game ya Leo mlisema Mnyama atakufa goli nyingi tu, baada ya game aa gia angani kwa kudai Wydad huwa hatilii maanani game za away.

Mnazingua sana, ifikie stage mkubali TU kuwa Mnyama Yuko vizuri.

Acha tusubili hiyo game mnayoisemea.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mtapigwa week huko Morocco , Leo Wydad walicheza kama wako mazoezini taratiiibu wakiogopa kuanguka kwa utelezi
 
Utopolo hamna mwenye tv
Wewe TV zipo kibao vibanda umiza utopolo tulijazana kuomba Simba ifungwe ila bahati yenu mvua ikawabeba, huko Morocco uwanja utawekwa turubali juu maji yasiguse pitch mpigwe week!!
 
Haji manara kashamaliza. Wenye akili yanga ni wawili tu
 
Ila mademu wa utopolo mnaongea sana
 
Tunapindua mkeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…