Amri Kiemba yuko underrated

Amri Kiemba yuko underrated

Kwa wachambuzi wa mpira wa league ya bongo hakuna wa kufikiria uyu jamaa yupo vizuri sana hasa Kwa kujenga hoja na kiufundi achana na hao wengine wenye blah blah nyingi kama wa kina ambangile
Kaka kiemba ni former player na pia ni kocha, anaujua mpira inside out, ana hoja zenye mashiko huwezi mlinganisha na wachambuzi uchwala wa baadhi ya media.

Tena kuna baadhi ya media hapa sikuizi zinachukua watu ambao hawana taaluma ya kimichezo kua wanahabari wa michezo eti tu kubalance jensia.mwisho wa siku wanaongea upimbi tu huko kwenye vipindi vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiemba mtulivu alafu hana mahaba kama wachambuzi wengine maandazi.

Mchambuzi wa soka unaposema Simba haifiki mbali kwa chuki tu bila fact unapoteza maana, alafu mwisho wa siku Simba inatinga robo ikiwa nafasi ya pili kwenye makundi yote manne.
 
Kwa wachambuzi wa mpira wa league ya Bongo hakuna wa kufikiria uyu jamaa yupo vizuri sana hasa kwa kujenga hoja na kiufundi achana na hao wengine wenye blah blah nyingi kama wa kina ambangile.
Tatizo la amri kiemba anachekacheka sana
 
Kaka kiemba ni former player na pia ni kocha, anaujua mpira inside out, ana hoja zenye mashiko huwezi mlinganisha na wachambuzi uchwala wa baadhi ya media.

Tena kuna baadhi ya media hapa sikuizi zinachukua watu ambao hawana taaluma ya kimichezo kua wanahabari wa michezo eti tu kubalance jensia.mwisho wa siku wanaongea upimbi tu huko kwenye vipindi vyao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naunga hoja Kwa asilimia mia
 
Unamsema ricardo momo
 
Tofauti ya Kiemba na wachambuzi wengine ni hana kaunafiki ndani yake. Wachambuzi wengi wanafata upepo wa timu inayoyumba, wanaikandia kinoma au ikifanya vizuri wanazusha jambo tu ili mradi walete taharuki.

Mfano: Shaffi Dauda

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa havutii kwenye kuongea kabisa kwangu George Ambangile ndio mchambuzi wangu Bora kabisa kwa hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom