Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amri Kiemba huyu huyu aliewahi kukipiga Simba amatimu gani nyingine sijui? Yah, anaweza kuwa mzuri kwenye kuuchambua mchezo mzuri was soka maana yeye, mwenyewe aliucheza vyema!
Kaka kiemba ni former player na pia ni kocha, anaujua mpira inside out, ana hoja zenye mashiko huwezi mlinganisha na wachambuzi uchwala wa baadhi ya media.Kwa wachambuzi wa mpira wa league ya bongo hakuna wa kufikiria uyu jamaa yupo vizuri sana hasa Kwa kujenga hoja na kiufundi achana na hao wengine wenye blah blah nyingi kama wa kina ambangile
Yupo vizuri na Ambangile yupo vizuri sana tu!Kwa wachambuzi wa mpira wa league ya Bongo hakuna wa kufikiria uyu jamaa yupo vizuri sana hasa kwa kujenga hoja na kiufundi achana na hao wengine wenye blah blah nyingi kama wa kina ambangile.
Mshikaji kamkosea sana AmbangileYupo vizuri na Ambangile yupo vizuri sana tu!
Usingemweka amba kama mfano
Tatizo la amri kiemba anachekacheka sanaKwa wachambuzi wa mpira wa league ya Bongo hakuna wa kufikiria uyu jamaa yupo vizuri sana hasa kwa kujenga hoja na kiufundi achana na hao wengine wenye blah blah nyingi kama wa kina ambangile.
Kaka kiemba ni former player na pia ni kocha, anaujua mpira inside out, ana hoja zenye mashiko huwezi mlinganisha na wachambuzi uchwala wa baadhi ya media.
Tena kuna baadhi ya media hapa sikuizi zinachukua watu ambao hawana taaluma ya kimichezo kua wanahabari wa michezo eti tu kubalance jensia.mwisho wa siku wanaongea upimbi tu huko kwenye vipindi vyao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamsema ricardo momoKaka kiemba ni former player na pia ni kocha, anaujua mpira inside out, ana hoja zenye mashiko huwezi mlinganisha na wachambuzi uchwala wa baadhi ya media.
Tena kuna baadhi ya media hapa sikuizi zinachukua watu ambao hawana taaluma ya kimichezo kua wanahabari wa michezo eti tu kubalance jensia.mwisho wa siku wanaongea upimbi tu huko kwenye vipindi vyao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sio mahaba ni usen....Ambangile ni mchambuzi wa mpira Africa na dunia kiujumla,,,waliobakia wote ni wasimuliaji tu ya yaliotokea uwanjani