PreGE2025 Amri ya kuua ya waandamanaji na udhaifu wa kiakili wa askari kuitekeleza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
9,528
Reaction score
24,071
Sote tunajua kwamba, Askari wa Tanganyika ni yale mazezeta sugu yaliyoshindikana shuleni yakabebwa na kupelekwa depo.

Askari wa aina hii ukimpa Amri ya kuua lazima umsimamie kwa karibu sana na umuelekeze kinagaubaga maana ya Amri hiyo.

Ninaamini wengi wao (askari) hawakuelewa nini kilichomaanishwa kwenye Amri hiyo, na wala hawakuelewa jinsi ya kuitekeleza bila kuleta madhara yasiyokusudiwa.

Ndio maana walikuwa wanaua hovyo, hata watoto wachanga wamepigwa shaba.

Hii Amri ya kuua ilibidi iwekwe kwenye maandishi na ieleze bayana utekelezaji wake kisha wakabidhiwe polisi wote mmoja mmoja na waisome waielewe vizuri.

Akili zao ni nzito sana ni sharti wasomewe maagizo yenye uzito kama yale. Wasomewe na watafuniwe kisha waruhusiwe kufanya utekelezaji.

Kungekuwa na notes kabisa wanaandikiwa na kupewa wanasoma kwa wiki nzima ndio wanaingia kazini.

Amri ya maandishi ieleze bayana nani anastahili kuuwawa, kwa namna gani, kwa idadi gani na kwa mipaka gani.

Bila hivyo matokeo yake wanafyatuka na kuanza kurusha risasi kila pahala.
 
Walio fanya mauaji ya kutisha na wale wasiojulikana, walikuwa wamevaa kiraia ni kama walikuwa washindana kumwaga maisha ya watu chini. Ulikuwa ukikutana nao kwenye NOAH lao lile anza kutubu mapemaaa..
 
Sio hao Tu pia kuna baadi ya polisi walionekana wakifyatua risasi za moto
 
Sote tunajua kwamba, Askari wa Tanganyika ni yale mazezeta sugu yaliyoshindikana shuleni yakabebwa na kupelekwa depo.

Askari wa aina hii ukimpa Amri ya kuua lazima umsimamie kwa karibu sana na umuelekeze kinagaubaga maana ya Amri hiyo.

Ninaamini wengi wao (askari) hawakuelewa nini kilichomaanishwa kwenye Amri hiyo, na wala hawakuelewa jinsi ya kuitekeleza bila kuleta madhara yasiyokusudiwa.

Ndio maana walikuwa wanaua hovyo, hata watoto wachanga wamepigwa shaba.

Hii Amri ya kuua ilibidi iwekwe kwenye maandishi na ieleze bayana utekelezaji wake kisha wakabidhiwe polisi wote mmoja mmoja na waisome waielewe vizuri.

Akili zao ni nzito sana ni sharti wasomewe maagizo yenye uzito kama yale. Wasomewe na watafuniwe kisha waruhusiwe kufanya utekelezaji.

Kungekuwa na notes kabisa wanaandikiwa na kupewa wanasoma kwa wiki nzima ndio wanaingia kazini.

Amri ya maandishi ieleze bayana nani anastahili kuuwawa, kwa namna gani, kwa idadi gani na kwa mipaka gani.

Bila hivyo matokeo yake wanafyatuka na kuanza kurusha risasi kila pahala.
inaonekana lesson imewaingia sana saahv mshaanza adi kuwatukana 😂
 
Hawa hapa
downloadfile-3.jpg
 
amri ya kuua waandamanaji wasio kua na silaha za moto ni uhalifu dhidi ya binadamu ,haijalishi walikua wakifanya matendo Gani wakati wa maandamano isipokuwa ikiwa maisha ya polisi yako hatarini , silaha ya moto ingetumika kama njia ya kujihami. sababu mbali na hapo jeshi la polisi linauwezo wa kuzuia machafuko ya maandamano kwa njia nyingi mno pasipo kuhusisha umwagaji wa damu..hivyo amri yoyote ile ya kuua raia wanaoandamana pasipokujali matendo yaambatanayo na maandamano hayo ni uhalifu , hata kama wangeua watu wawili bado ungekua uhalifu dhidi ya binadamu...ovaaaa!!!!!
 
Sote tunajua kwamba, Askari wa Tanganyika ni yale mazezeta sugu yaliyoshindikana shuleni yakabebwa na kupelekwa depo.

Askari wa aina hii ukimpa Amri ya kuua lazima umsimamie kwa karibu sana na umuelekeze kinagaubaga maana ya Amri hiyo.

Ninaamini wengi wao (askari) hawakuelewa nini kilichomaanishwa kwenye Amri hiyo, na wala hawakuelewa jinsi ya kuitekeleza bila kuleta madhara yasiyokusudiwa.

Ndio maana walikuwa wanaua hovyo, hata watoto wachanga wamepigwa shaba.

Hii Amri ya kuua ilibidi iwekwe kwenye maandishi na ieleze bayana utekelezaji wake kisha wakabidhiwe polisi wote mmoja mmoja na waisome waielewe vizuri.

Akili zao ni nzito sana ni sharti wasomewe maagizo yenye uzito kama yale. Wasomewe na watafuniwe kisha waruhusiwe kufanya utekelezaji.

Kungekuwa na notes kabisa wanaandikiwa na kupewa wanasoma kwa wiki nzima ndio wanaingia kazini.

Amri ya maandishi ieleze bayana nani anastahili kuuwawa, kwa namna gani, kwa idadi gani na kwa mipaka gani.

Bila hivyo matokeo yake wanafyatuka na kuanza kurusha risasi kila pahala.
Wachq kujidanganya amri ya kuua watu ilitolewa na kuwekewa hadi askari maalum kufanikisha tukio ...hivyo hakuna bahati mbaya..
 
Back
Top Bottom