BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Sio hao Tu pia kuna baadi ya polisi walionekana wakifyatua risasi za motoWalio fanya mauaji ya kutisha na wale wasiojulikana, walikuwa wamevaa kiraia ni kama walikuwa washindana kumwaga maisha ya watu chini. Ulikuwa ukikutana nao kwenye NOAH lao lile anza kutubu mapemaaa..
Kweli, ni kama walikuwa wanashindana idadi ya kuua. Hii nchi imejiozea kabisaSio hao Tu pia kuna baadi ya polisi walionekana wakifyatua risasi za moto
Yote sawa ila UVCCM na wazee wao,na police tunaishi nao mtaani siku tukianzisha kampeni ya unyongaji dhidi Yao hatuhitaji taharukiKweli, ni kama walikuwa wanashindana idadi ya kuua. Hii nchi imejiozea kabisa
inaonekana lesson imewaingia sana saahv mshaanza adi kuwatukana 😂Sote tunajua kwamba, Askari wa Tanganyika ni yale mazezeta sugu yaliyoshindikana shuleni yakabebwa na kupelekwa depo.
Askari wa aina hii ukimpa Amri ya kuua lazima umsimamie kwa karibu sana na umuelekeze kinagaubaga maana ya Amri hiyo.
Ninaamini wengi wao (askari) hawakuelewa nini kilichomaanishwa kwenye Amri hiyo, na wala hawakuelewa jinsi ya kuitekeleza bila kuleta madhara yasiyokusudiwa.
Ndio maana walikuwa wanaua hovyo, hata watoto wachanga wamepigwa shaba.
Hii Amri ya kuua ilibidi iwekwe kwenye maandishi na ieleze bayana utekelezaji wake kisha wakabidhiwe polisi wote mmoja mmoja na waisome waielewe vizuri.
Akili zao ni nzito sana ni sharti wasomewe maagizo yenye uzito kama yale. Wasomewe na watafuniwe kisha waruhusiwe kufanya utekelezaji.
Kungekuwa na notes kabisa wanaandikiwa na kupewa wanasoma kwa wiki nzima ndio wanaingia kazini.
Amri ya maandishi ieleze bayana nani anastahili kuuwawa, kwa namna gani, kwa idadi gani na kwa mipaka gani.
Bila hivyo matokeo yake wanafyatuka na kuanza kurusha risasi kila pahala.
Hawa hapaSote tunajua kwamba, Askari wa Tanganyika ni yale mazezeta sugu yaliyoshindikana shuleni yakabebwa na kupelekwa depo.
Askari wa aina hii ukimpa Amri ya kuua lazima umsimamie kwa karibu sana na umuelekeze kinagaubaga maana ya Amri hiyo.
Ninaamini wengi wao (askari) hawakuelewa nini kilichomaanishwa kwenye Amri hiyo, na wala hawakuelewa jinsi ya kuitekeleza bila kuleta madhara yasiyokusudiwa.
Ndio maana walikuwa wanaua hovyo, hata watoto wachanga wamepigwa shaba.
Hii Amri ya kuua ilibidi iwekwe kwenye maandishi na ieleze bayana utekelezaji wake kisha wakabidhiwe polisi wote mmoja mmoja na waisome waielewe vizuri.
Akili zao ni nzito sana ni sharti wasomewe maagizo yenye uzito kama yale. Wasomewe na watafuniwe kisha waruhusiwe kufanya utekelezaji.
Kungekuwa na notes kabisa wanaandikiwa na kupewa wanasoma kwa wiki nzima ndio wanaingia kazini.
Amri ya maandishi ieleze bayana nani anastahili kuuwawa, kwa namna gani, kwa idadi gani na kwa mipaka gani.
Bila hivyo matokeo yake wanafyatuka na kuanza kurusha risasi kila pahala.
We ni askari?inaonekana lesson imewaingia sana saahv mshaanza adi kuwatukana 😂
Wachq kujidanganya amri ya kuua watu ilitolewa na kuwekewa hadi askari maalum kufanikisha tukio ...hivyo hakuna bahati mbaya..Sote tunajua kwamba, Askari wa Tanganyika ni yale mazezeta sugu yaliyoshindikana shuleni yakabebwa na kupelekwa depo.
Askari wa aina hii ukimpa Amri ya kuua lazima umsimamie kwa karibu sana na umuelekeze kinagaubaga maana ya Amri hiyo.
Ninaamini wengi wao (askari) hawakuelewa nini kilichomaanishwa kwenye Amri hiyo, na wala hawakuelewa jinsi ya kuitekeleza bila kuleta madhara yasiyokusudiwa.
Ndio maana walikuwa wanaua hovyo, hata watoto wachanga wamepigwa shaba.
Hii Amri ya kuua ilibidi iwekwe kwenye maandishi na ieleze bayana utekelezaji wake kisha wakabidhiwe polisi wote mmoja mmoja na waisome waielewe vizuri.
Akili zao ni nzito sana ni sharti wasomewe maagizo yenye uzito kama yale. Wasomewe na watafuniwe kisha waruhusiwe kufanya utekelezaji.
Kungekuwa na notes kabisa wanaandikiwa na kupewa wanasoma kwa wiki nzima ndio wanaingia kazini.
Amri ya maandishi ieleze bayana nani anastahili kuuwawa, kwa namna gani, kwa idadi gani na kwa mipaka gani.
Bila hivyo matokeo yake wanafyatuka na kuanza kurusha risasi kila pahala.
Hawa wanafanyia kazi sehemu Gani ?!