Amri za Mungu zipo kumi. Mojawapo inasema usitamani mke asie wako...maana yake ni chukizo mbele za Mungu. Hata Daud mtumishi wa Mungu alipomtamani mke wa Uria ( I stand to be corrected) na kumpeleka mumewe mstari wa mbele ili afe amlale mkewe kwa nafas, Mungu alichukia sana.
Lakini hakuna mahali hii amri inasema usitamani mume wa mtu, nimekuta mtumishi mwanamke anahubiri kumtamani mume wa mtu ni dhambi na anarefer hii amri, kwa maoni yangu sioni kama ni sahihi..wakristu mnabaniwa utamu wa kuoa wake wengi.
Daima mke wa mtu atabaki kuwa sumu lakini mume wa mtu ni maziwa matamu sana.
Nawatakia Dominika njema, Tumsifu Yesu Kristu