Aliyekwambia amri za Mungu zipo kumi tu ni naniAmri za Mungu zipo kumi. Mojawapo inasema usitamani mke asie wako...maana yake ni chukizo mbele za Mungu. Hata Daud mtumishi wa Mungu alipomtamani mke wa Uria ( I stand to be corrected) na kumpeleka mumewe mstari wa mbele ili afe amlale mkewe kwa nafas, Mungu alichukia sana.
Lakini hakuna mahali hii amri inasema usitamani mume wa mtu, nimekuta mtumishi mwanamke anahubiri kumtamani mume wa mtu ni dhambi na anarefer hii amri, kwa maoni yangu sioni kama ni sahihi..wakristu mnabaniwa utamu wa kuoa wake wengi.
Daima mke wa mtu atabaki kuwa sumu lakini mume wa mtu ni maziwa matamu sana.
Nawatakia Dominika njema, Tumsifu Yesu Kristu
Ni kumi, ya 11 ni ipi?Aliyekwambia amri za Mungu zipo kumi tu ni nani
Haziko specific kama unavotaka.labda kama unaangalia andiko moja tuNi kumi, ya 11 ni ipi?
Mahubiri Yako ni ya kipagani,umesaidiwa na SHETANI kuandika,kingine sisi siyo wakristu ni wakristo. Acha dhambiAmri za Mungu zipo kumi. Mojawapo inasema usitamani mke asie wako...maana yake ni chukizo mbele za Mungu. Hata Daud mtumishi wa Mungu alipomtamani mke wa Uria ( I stand to be corrected) na kumpeleka mumewe mstari wa mbele ili afe amlale mkewe kwa nafas, Mungu alichukia sana.
Lakini hakuna mahali hii amri inasema usitamani mume wa mtu, nimekuta mtumishi mwanamke anahubiri kumtamani mume wa mtu ni dhambi na anarefer hii amri, kwa maoni yangu sioni kama ni sahihi..wakristu mnabaniwa utamu wa kuoa wake wengi.
Daima mke wa mtu atabaki kuwa sumu lakini mume wa mtu ni maziwa matamu sana.
Nawatakia Dominika njema, Tumsifu Yesu Kristu
Swali lina logic, huenda Mood yuko sahihi kwenye baadhi ya mamboAmri za Mungu zipo kumi. Mojawapo inasema usitamani mke asie wako...maana yake ni chukizo mbele za Mungu. Hata Daud mtumishi wa Mungu alipomtamani mke wa Uria ( I stand to be corrected) na kumpeleka mumewe mstari wa mbele ili afe amlale mkewe kwa nafas, Mungu alichukia sana.
Lakini hakuna mahali hii amri inasema usitamani mume wa mtu, nimekuta mtumishi mwanamke anahubiri kumtamani mume wa mtu ni dhambi na anarefer hii amri, kwa maoni yangu sioni kama ni sahihi..wakristu mnabaniwa utamu wa kuoa wake wengi.
Daima mke wa mtu atabaki kuwa sumu lakini mume wa mtu ni maziwa matamu sana.
Nawatakia Dominika njema, Tumsifu Yesu Kristu
Nijibu kwa hoja, usiniulize swaliAliyekwambia amri za Mungu zipo kumi tu ni nani
Paul hawez kuwa na mandate zaid ya Mungu muumba wa vyote aliempa Suleyman nguvu na hekima ilhal akijua ana wake wengi mpaka masuria..na akawaacha manabii wake wawe na wake zaid ya mmoja...mwanaume anapaswa kuwa na wake wengi...sio mwanaume binadamu tu, hadi mume mnyama. Na laiti kama ingekuwa hivyo ( yani wanaume wawe na wanawake wengi kihalali) matatizo mengi sana yangepungua duniani kwa sasa...wanaume kuweni na wake wengi..kukujibu hoja yako kuhusi wanawake wa middle east, Mariam pia alitokea huko middle east na alipewa uwezo akamzaa Yesu, ni mwanamke aliepewa nafasi na Mungu...halafu piga ua garagazq mwanamke mpaka leo ni kiburudisho, huleta stareheMtoa hoja huna hoja. Katika jamii za middle east, mwanamke hakutajwa sana ama kupewa nafasi. Hivyo hakuchukuliwa kama mtu Bali ni chombo cha starehe. Lakini hayo yote yalikua ni mambo ya tamaduni na Si Mungu. Ndio maana Paul akasema " kwa ajili ya tamaa, kila mtu na awe na mke au mume wake mwenyewe". Hivyo mwanamke kutamani mume wa mwenzie ni dhambi vilevile.
Sahihi kabisa mkuuSwali lina logic, huenda Mood yuko sahihi kwenye baadhi ya mambo
HaswaaComments nilizosoma mpk sasa zimejaa ujuaji ujuaji bila kudefend hoja mnazosimamia,me pia ni mkristo ila siko rhat deep in my faith ila ingependeza mjibu hoja ya jamaa kwa details mueleweke.
Tatizo mnasoma bible kwa kukariri sehem chache za mistari...sometimes bible muieleweMahubiri Yako ni ya kipagani,umesaidiwa na SHETANI kuandika,kingine sisi siyo wakristu ni wakristo. Acha dhambi
Wewe umekariri ipi IKIWA unataka kuonja wanawake kila aina? Unafikiri YESU alitaja biblia nzima Ili amshinde SHETANI? Acha ushetani wewe andiko moja linatosha kukushinda maana huna ukweli moyoniTatizo mnasoma bible kwa kukariri sehem chache za mistari...sometimes bible muielewe
Mkuu, mke kwenye jamii ya waisrael enzi hizo alikuwa anahesabika kama mali na hata kwenye hiyo amri ametajwa mke pamoja na mali nyinginezo ambazo walikatazwa kutamani eg punda. Mume hakuwa anahesabika kama mali ndio maana hajatajwa.