Amri ya sita (Usizini)

Amri ya sita (Usizini)

Mtu yeyeto afanyaye uzinzi sana mpe miaka mitano TU then uje uangalie maisha yake.
Achana na wale wafanyao uzinzi kama mkataba au masharti waliyopewa ili kuchukua nyota za watu.Mfno wanaojiuza wengi ni mawakala wanakusanya nyota za watu na kuua nguvu za kiroho za watu ili kuzalisha kizazi mazombi yaani watu wasio na utu ndani mwao.
Mtu ni utu.
 
Kuna mjinga mmoja atakuwa anasema kama jina lako "utajua wewe"

Ila umesema ukweli mchungu
 
Hizo ni taratibu tulizoamua kujiwekea tu binadamu kama ustaarabu, hakuna kitu kinaitwa dhambi.
 
Hamjambo;

Kumekuwa na kasumba kubwa inayokuta rika zote kuendekeza ngono kwa kiasi kikubwa huku wakiona ni ujanja.

Amri ya sita iheshimiwe hatakama umekosa elimu juu ya madhara mbalimbali kuhusu ngono basi tumia akili.

Kama huna adabu basi jifunze kuwa na aibu maana ni kituko kikubwa sana kuwa mjinga halafu unajiamini.
Nafahamu kuwa kuna viungo ambavyo huwa havisikii, ila usikubali hisia zikuendeshe.

Usikubali kuzini na mwanamke/ mwanaume kabla ya ndoa ina madhara mengi sana tusiwe kama watoto wa nursery buana.

Kingine jitahidi ukwepa dhambi, wala sio ibada.

Usizini.
Usizini ni amri ya saba siyo ya sita. Soma kitabu cha Kutoka 20:14
 
Back
Top Bottom