Amri ya sita (Usizini)

Amri ya sita (Usizini)

Eleza kwanza kwa kinaganaga kuwa nini maana ya kuzini. Napenda wazungu wanavyotumia neno sex na linaeleweka. Haya wewe mswahili nieleze kuzini ni nini?
 
Kuzin
Eleza kwanza kwa kinaganaga kuwa nini maana ya kuzini. Napenda wazungu wanavyotumia neno sex na linaeleweka. Haya wewe mswahili nieleze kuzini ni nini?
Kuzini ni kufanya tendo la ndoa kabla ya kuoa /kuolewa .
Pia inajumuisha na kufanya tendo hilo ndani ya ndoa kinyume na kanuni za ndoa na mtu mwingine
 
Back
Top Bottom