Eleza kwanza kwa kinaganaga kuwa nini maana ya kuzini. Napenda wazungu wanavyotumia neno sex na linaeleweka. Haya wewe mswahili nieleze kuzini ni nini?