flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Hawajitambui....... Nikweli wengi tunahitaji mabadiliko ila sio kwastyle hiyo.Mnaamini hiyo barua ni tishio kwa JPM [emoji38][emoji38] .... Waafrika hamjifunzi tu, Besigye wa Uganda alifanywa nini na Museven tena ule unyanyasaji wa kiroho mbaya dunia ikishuhudia! Hawakuwepo hawa? Rwanda yule mpinzani wa kike? The list goes on .....Chadema hawana chama kwasasa cha kiushindani labda wangeungana na ACT ili walau wajenge chama na baadae wajipange upya kuunda misingi itayowasaidia baadae kutwaa dola. Kwasasa wakienda na ule upofu wa kishabiki, watashangazwa October ...
Kupitia lissu nimeelewa Rais anatakiwa aweje. Magu kula mingine mitano kiroho safi