Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Amsterdam and partners LLP wamlima barua Rais Magufuli na Jaji Mkuu, wabainisha njama zote zinazosukwa

Mnaamini hiyo barua ni tishio kwa JPM [emoji38][emoji38] .... Waafrika hamjifunzi tu, Besigye wa Uganda alifanywa nini na Museven tena ule unyanyasaji wa kiroho mbaya dunia ikishuhudia! Hawakuwepo hawa? Rwanda yule mpinzani wa kike? The list goes on .....Chadema hawana chama kwasasa cha kiushindani labda wangeungana na ACT ili walau wajenge chama na baadae wajipange upya kuunda misingi itayowasaidia baadae kutwaa dola. Kwasasa wakienda na ule upofu wa kishabiki, watashangazwa October ...
Hawajitambui....... Nikweli wengi tunahitaji mabadiliko ila sio kwastyle hiyo.

Kupitia lissu nimeelewa Rais anatakiwa aweje. Magu kula mingine mitano kiroho safi
 
Waje mabeberu na Lisu wao tutapambana nao sisi Kama Watanzania wazalendo tunaoipenda nchi yetu na tusiotaka fitna za mabeberu.
Magufuli oyeeee
 
Wao waseme wanachotaka ni kuendelea kutubia na hilo halitakuwepo tu. wao waendelee kumfadhiri ila mwisho wa siku kurudia tena enzi zile za Mangungo wa Msovero hatuko tayari na hawatapata wanchotaka kutubia
sisi sio kisiwa ili uendelee ni lazima uibiwe hata wao wanaibiwa kila nchi inamuibia mwenzake ni kama mchezo wa draft ulipo kula ni kule
 
Mnaamini hiyo barua ni tishio kwa JPM [emoji38][emoji38] .... Waafrika hamjifunzi tu, Besigye wa Uganda alifanywa nini na Museven tena ule unyanyasaji wa kiroho mbaya dunia ikishuhudia! Hawakuwepo hawa? Rwanda yule mpinzani wa kike? The list goes on .....Chadema hawana chama kwasasa cha kiushindani labda wangeungana na ACT ili walau wajenge chama na baadae wajipange upya kuunda misingi itayowasaidia baadae kutwaa dola. Kwasasa wakienda na ule upofu wa kishabiki, watashangazwa October ...
true thus yafaa waachwe wasifanyiwe figisu figisu za kutekwa wagombea wao au rafu za wakurugenzi ili kama kushindwa washindwe wenyewe kwa kuufanya uchaguzi uwe huru na kila kitu kipo wazi
 
Wacheni mikwara mbuzi yenu hakuna kosa ambalo limefanyika so far ku attract intervesion ya ICC.

by the way ni ngumu sana kumshitaki a sitting president.

rejea kesi ya Uhuru na Ruto
ukitenda uhalifu utashtakiwa tu hata ujifiche mwezin
 
Unaota ww
kanuni ya dunia yasema hivi hakuna binadamu yeyeto haijalishi cheo chake awe mfalme au tajiri akataenda uhalifu akabaki salama,cheki farao,herode,gadafi ,saddam,hitler,osama hii ni laws of nature.Jifunze kuhusu universal uishi salama.The hague ipo kwa ajili ya watu wote waliokosa malezi bora utotoni toka kwa mama zao baada ya kuzembea kulea kule ni sehemu salama ya kuwapumzisha ili kuepusha dunia gharama za kuhudumia wakimbizi
 
Waje mabeberu na Lisu wao tutapambana nao sisi Kama Watanzania wazalendo tunaoipenda nchi yetu na tusiotaka fitna za mabeberu.
Magufuli oyeeee
wakati ukuta bakini na ujima wenu dunia inasonga
 
Back
Top Bottom