ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Humu mitandaoni mtu mmoja anaweza kupiga kelele utadhani watu 1000! Halafu hapigi kura.Naona watu wamemgomea brother kuandamana.
Mtaji wa mwanasiasa yoyote ni watu kitu ambacho tundu hana. Angekua nao sasa hivi tungekua tunatuma maombi ya kuombea nchi🤔
Anzeni upya kwa kutengeneza misingi mizuri kutoka chini sio unaamua ndani ya miezi 3 uwe Rais na utegemee sapoti kubwa kutoka kwa watu ambao haukua nao ukitegemea watu wa mitandao wanaokupamba na hujui Kama wapo kweli🥺🥺
Dua la kuku, sindano imeingiaKateni misaada na mikopo tuone Jiwe litafika wapi.
Mnajisifu kufanya uharamia!Dua la kuku, sindano imeingia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi mnataka Lissu aongee kilugha gani ili mjue kama kataka mkaandamane?Ni elimu au umbumbu? Hizi lugha jumuishi una uhakika gani ni sahihi?
Kumbuka ipo tofauti kubwa baina ya:
1. uCCM na uTanzania
2. uLb7 na uTanzania
3. uTaga na uTanzania
4. uWizi na uTanzania
5. uUwaji na uTanzania
6. Nk.
Tafadhali acha kuongelea na ambao hawajakutuma.
Halafu wanamatusi utashangaa. Kumbe ni wanachadema matawi ya nje ya nchi.Humu mitandaoni mtu mmoja anaweza kupiga kelele utadhani watu 1000! Halafu hapigi kura.
Mkuu kwanini mnadharau sana Lissu? Kasema andamaneni, mbona hatuwaoni?Kateni misaada na mikopo tuone Jiwe litafika wapi.
Hahhahahahaaaaa sky kama nakuona ulivyonuna siku mbili hizi mtaongea yote sasa hivi hamna chenu mkajipange upya na Amsterdam wenu anaye twanga maji kwenye kinu hao anaowashitakia wala hawana impact na nchi yetu.Nigeia iliwahi kuvuliwa uwanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Ndo maaana mmeshindwa, bado mnaongelea tu pesa za misaada mpaka lini.Nigeia iliwahi kuvuliwa uwanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Kateni misaada na mikopo tuone Jiwe litafika wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadirifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
Asichokijua ni kwamba always hiz nchi huwa zinategemeana, hakunaga cha bure hiyo wanayoiita misaada ni kiini macho tu na pia nchi haiendeshwi kwa misaada bali huendeshwa kwa kodi.Dua la kuku,sindano imeingia
Soya ipi?Jana China wameingia mkataba mpya wa kununua soya Tanzania, je una laana ingine imebaki!!?
Naona Wakurya hawakuhamasika sana kupiga kura juzi ni kidogo nusu ya wapiga kura hawakupiga [emoji28]Huyu nae hata hajisitukii kuona Watanzania wote wapo kimya Wala hawawashwi kama yeye na mtu wake.
Ukiona Hadi Wakurya wametulia baada ya kutangazwa matokeo ya kura zao Basi jua kabisa kilichofanyika ni maamuzi ya Wananchi.
Si alidanganywa na likibaraka limoja kuwa ukionekana unajua kizungu Tanzania, watanzania watakuogopa na kukuona umesoma sana.Huyu jamaa mm ningekuwa nimesomea sheria ninge deal naye mwenyewe. Maana inaonyesha elimu yake ni ndogo mnoo, lkn anajidai kwelikweli.
Beberu la USA limesema Maalimu Seif aachiwe immediately na mmeufyata mtimueni hii ni nchi huru bana.Huyu muhuni kacharazwa hadi hajui la kufanya
Pumbavu wewe kwani anakomeshwa jiwe au anakomeshwa shangazi yako anayetumia ARV.Kateni misaada na mikopo tuone Jiwe litafika wapi.
#UchaguziTanzania: The 2020 Tanzanian general election process is better than the previous since multipartism was re-introduced in 1995 therefore someone with interests eyeing the country's natural resources affilliating with internal & external traitors to exploit shall not hold water.Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadirifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.