Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Nigeria iliwahi kuvuliwa uanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
hatutegemei misaada ya mabeberu. Huoni uchaguzi tumesimama wenyewe ..kwanza huyo Amsterdam kibaraka tu anahaha kwakua ashakula ela ya watu ya uchaguzi.

Amsterdam & Partners Eyes $4M Fee from Venezuela​

Amsterdam & Partners will receive a $4M flat fee to push for the removal of US sanctions on Venezuela. The US does not recognize the government of Venezuela.​

A&P assumed the work of Foley & Lardner, which resigned the account last month after Florida Senator Rick Scott blasted it for representing the "brutal regime" of Nicolas Maduro.

F&L was in line for a $12.5M flat fee for devising a "narrative and strategy" to help Venezuela remove the sanctions.

The US on March 26 charged Maduro and his associates with narco-terrorism, alleging they have "deployed cocaine as a weapon" to undermine the US, according to attorney general Bill Barr.

The Trump administration is offering a $15K reward for the capture or conviction of Maduro.
 
Huyu ajax Amsterdam anatetea maslahi ya lissu?, Chadema?, Au Tanzania maana hasikiki akizungumzia inshu za maalim seif au ndo muda wa Kila mtu ale size yake
Mwenzio Lissu alishakula ela ya mabeberu aje lianzisha. Sasa aende kwa maalim kwani waliingia naye mkataba?
 
Wewe mama ni mgogo nini?? Unapenda msaada sana. Hata wanao unawahimiza wawe tegemezi namna hiyo kwa kila rasilimali tulizonazo hatustahili kabisa kusaidiwa ni basi tumekua na tamaduni za kishenzi kila kitu kuombaomba wakati rasilimali tunazo emu wahimize vijana wafanye kazi tuondokane na hulka za kipumbavu za kuomba omba
Endelea kujidanganya!
 
Chadema ina uhusiano wa kimaslahi makubwa na Matycoon wa Siasa za Africa. Hawa watu wapo teari kumwaga damu ili watawale vibaraka wao kwa maslahi yao.

Amsterdam analipwa na hawa Matycoon kuakikisha mauaji yanatokea Tanzania au jumuia za kimataifa zinasitisha ushirikiano na Tanzania ili Watanzania wapate shida.Hili haliwezi kutokea ndni ya Seriakli ya Awamu ya Tano
 
Thanks Sky!Alafu mtu hana exposure wala uelewa wa mambo anajitokea huko anawaaminisha watu Amsterdam hajui anachofanya,Seriously? Safari hii tutaelewana-US ameshatoa carrots za kutosha,now ni stick mpaka tufike mahali tuzungumze lugha moja,haiwezekan mtu anatokea na kuanza kusema wapinzani wasiombee vikwazo visije sababu na wao wataumia,tokea lini wapinzani wamekuwa na furaha nchini mwao?Nw tuumie wote ili tuelewane kwa pamoja.
Hayo mtayaombea sana lakini hayata tokea misada itakuja maana nchi inaongozwa kihalali hayo ya kwenu ya kutunga wazungu hawaelewi.
 
Nigeria iliwahi kuvuliwa uanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Walioumia ni kina nani,unadhani wwnye madaraka yao wanajali vitu kama hivyo,sidhani kama familia ya mugabe ishawahi kulala njaa hata siku 1 pa1 na vikwazo vyote vile
 
Watumishi wa serikali sahauni nyongeza ya mshahara na wanafunzi malipo ya mkopo wa elimu yatapabsa
Ilani yenu ilisema itaweka rehani madini ili kulipia hizo gharama! Madini yakiisha ardhini, hizo gharama zitalipwa na nini! Mkuu, usiiabishe akili kubwa yako aisee!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu kaisababishia hasara kubwa sana.

CHADEMA itakumbwa na ukata mkubwa maana hakuna ruzuku,

Yani mtifuano utakaotokea hapo chadema si wa kitoto
kama namuona mzee Mtei kule kijijini alivyofura,tusishangae akarudi CCM. maana saccos kwishney kabisa
 
Mbinu zao zimefeli, hawa MABEBERU ni watu hatari sana.. Wapo tayari kuiingiza nchi kwenye vita kama hutimizi maslahi yao! Siyo marafiki hata kidogo, inahitajika akili ya ziada kuwafahamu.
Ewe kibaraka wa watawala, fahamu kwamba ikiwa hao mabeberu watatusaidia wananchi wazalendo wapenda HAKI tz kuliondoa nyonya damu ccm madarakani. Wengi wetu (natambua sio wote) tupo tayari kabisa watusaidie kufanya hivyo bila kuchelewa!
 
Watumishi wa serikali sahauni nyongeza ya mshahara na wanafunzi malipo ya mkopo wa elimu yatapabsa
Watumishi hatutaki nyongeza za mishahara, tunataka hii hela tunayoipata ipande thamani, yaani naenda bureau de change na elfu kumi ya TAnzania napata US$20, umeelewa mkuu!

Na ili tufike huko tunahitaji uchumi mzuri kwa maana ya kuzalisha na kuuza sana nje huku tukiagiza kiduchu!
 
Nigeria iliwahi kuvuliwa uanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Jumuia ya madola haina ruzuku wewe. Kuna michango kibao kwa ajili ya mikutano.
 
Jumuiya ya madola waishie uko uko, watuache na amani yetu waTanzania

Amani yenu ni CCM kushinda tu na kusalia Madarakani Milele bila hata ya kujali kuwa imeshinda kwa namna gani huo Uchaguzi.
 
Ni elimu au umbumbu? Hizi lugha jumuishi una uhakika gani ni sahihi?

Kumbuka ipo tofauti kubwa baina ya:

1. uCCM na uTanzania
2. uLb7 na uTanzania
3. uTaga na uTanzania
4. uWizi na uTanzania
5. uUwaji na uTanzania
6. Nk.

Tafadhali acha kuongelea na ambao hawajakutuma.
Midoli/bolts/robots/misukule kamwe haiwezi kuelewa.
 
Back
Top Bottom