Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Wapinzani hawana mvuto chief, hebu waangalie wanasiasa wa CCM kwanza wanavutia hata kwa kuwaangalia tu usoni, ni vijana wenye busara na hekima
Kuvutia ndiyo kuwa mwizi wa kura? Busara ni kuulawiti kuubaka uchaguzi?
 
Wewe mama ni mgogo nini?? Unapenda msaada sana. Hata wanao unawahimiza wawe tegemezi namna hiyo kwa kila rasilimali tulizonazo hatustahili kabisa kusaidiwa ni basi tumekua na tamaduni za kishenzi kila kitu kuombaomba wakati rasilimali tunazo emu wahimize vijana wafanye kazi tuondokane na hulka za kipumbavu za kuomba omba
Tanzania hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani pesa za viwanda za walipa kodi zote zinatumika kudidimiza demokrasia kudhoofisha chadema kuua upinzani na sasa zimetumika kuubaka kuulawiti uchaguzi, hawataki maendeleo kabsa saa 24 CCM huwaza mambo haramu ya kishetani
 
Tuelezeni kula feki zilitoka wapi? kwa mabeberu? msimsingizie Lisu mchawi ni kura feki mbona tukifika hapo mnahamisha magori. nani kaingiza mikura feki???????!!!!!!!??????!!!??
Kura feki ni walitengeneza wao kuchafua
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu kaisababishia hasara kubwa sana.

CHADEMA itakumbwa na ukata mkubwa maana hakuna ruzuku,

Yani mtifuano utakaotokea hapo chadema si wa kitoto
CCM ndiyo kaleta hasara kwa kuubaka kuulawiti uchaguzi kwa njia haramu za kishetani, kumbuka wapiga kura wametenda haki kwa kuichagua chadema lakini wakurugenziccm Polisiccm NECCCM Tumeccm vyombo binafsi vya CCM vimepora Nchi majimbo kwa njia haramu za kishetani.
 
Najua ni hasira tu zimekuzonga mkuu, cha muhimu tulia tu sindano izame vizuri,

Mbaya zaidi wananchi wamempuuza Lisu yani juhudi zote za kutaka muandamane mmempuuza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna aliyepuuza maandamano kwani hakuna aliyeitisha maandamano mpaka sasa, ni wananchi wa wapi unawasemea? Sindano zipi ziingie wapi wakati hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania zaidi ya CCM kufanya mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Wewe mama ni mgogo nini?? Unapenda msaada sana. Hata wanao unawahimiza wawe tegemezi namna hiyo kwa kila rasilimali tulizonazo hatustahili kabisa kusaidiwa ni basi tumekua na tamaduni za kishenzi kila kitu kuombaomba wakati rasilimali tunazo emu wahimize vijana wafanye kazi tuondokane na hulka za kipumbavu za kuomba omba
Mkuu sasa unamlaumu huyu dada kwa lipi, wakati ni ukweli kuwa Tanzania kwa kiasi kikubwa hutegemea misaaada toka nnje kwa ajili ya maendeleo yake. Umesahau mkuu kuwa kitambo mliisha izika siasa ya muasisi wa ccm ya ujamaa na kujitegemea. Tanzania ni nchi inayotegemea mitaji toka nnje ili iendelee kiuchumi.
 
Kabla ya yote huyu Lissu angewauliza kwanza mashabiki wake kama walipiga kura maana mimi hapa kazini nina vijana kama hamsini ila waliopiga kura hawazidi watano.
 
CCM bila Aibu bila huruma bila hata kumuogopa mungu eti wanajisifu kujipongeza kuwa wameshinda uchaguzi, ni uchaguzi upi huo kashinda CCM maana huu wa sasa ni vioja maigizo ya kuuhadaa Dunia tu.
 
Back
Top Bottom