Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Wambie CCM waache vitendo haramu vya kishamba na kishetani endapo hutaki aje

Wewe unafikiri akija atafanya nini cha tofauti? Nani nakwambia madaraka amepewa mwanaharakati? Ili atuuze mchana kwenye? Anataka nishati. Ndio maana Russia amezuiwa kukanyaga. Aliyekuwa anamtetea ni tapeli tu aliyemhadi malipo manono
 
Kaeni kwa kutulia ccm Tena mtulie haswa! Hivi mnadhani jitu lilizaliwa na hasira Kila saa Lina hasira Lina fake smile likimaliza wapinzani hasira zake zitaendelea wapi?
Natamani kuona miaka mitano mkimalizana wenyewe kwa kwa wenyewe na yeye pia

Alafu 2025 tutaona jipya miaka mitano michache Sana,kwa watu was Mungu
 
Hapana, naomba zile kesi ziskiliZwe sasa na hukumu itolewe
Ccm wengi hawana akili ndo maana wengi mpo hiki chama cha vilaza.
Eti kwa sababu ana kesi zikisikilizwa hawezi kushinda hizo kesi.
Tangu lini kesi za kubambikiwa zikatoboa?,au kwa sababu mwenyekiti wako ana uwezo Wa kuwaamuru mahakama wapindishe sheria.
 
RIPOTI NIMEZIONA WAMESHAURI KUWA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO TUANGALIE VITU KAMA HIVYO HATA MIMI NAKUBALI TUTAVIANGALIA LAKINI uchaguzi umeisha tumeshinda WACHA MAISHA YAENDELEE KAMA UNABISHA UTAKACHOKIFANYA UKIKUTANA NA VIJANA WA MAMBOSASA NDUGU ZAKO NDIYO UTAWASUMBUA
 
Attachments

  • 1604054395508.png
    1604054395508.png
    212.1 KB · Views: 2
RIPOTI NIMEZIONA WAMESHAURI KUWA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO TUANGALIE VITU KAMA HIVYO HATA MIMI NAKUBALI TUTAVIANGALIA LAKINI uchaguzi umeisha tumeshinda WACHA MAISHA YAENDELEE KAMA UNABISHA UTAKACHOKIFANYA UKIKUTANA NA VIJANA WA MAMBOSASA NDUGU ZAKO NDIYO UTAWASUMBUA
Waweza onyesha kwenye hyo attachment walichoandika kinachofanana na wewe ulichoandika?
 
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
Haitasaidia kitu kama magufuli angekuwa wa kutishika basi toka huyu wakili alivyoanza kutoa vitisho kwa wasimamizi wa uchaguzi basi angeogopa na pia huu uchaguzi umeangaliwa na wengi kuliko hata huyu wakili mmja
 
Ccm wengi hawana akili ndo maana wengi mpo hiki chama cha vilaza.
Eti kwa sababu ana kesi zikisikilizwa hawezi kushinda hizo kesi.
Tangu lini kesi za kubambikiwa zikatoboa?,au kwa sababu mwenyekiti wako ana uwezo Wa kuwaamuru mahakama wapindishe sheria.

Sjajua sheria gan itatumika ila swala LA kuita mapolisi wajinga sio ugwana, naomba pia iongezwe kwenye kesi zake

- kuna chama mapunguani kama chadema? Nyie ni wa kuwaambia watu kuna corona alafu mnafanya kampeni? Kichwan mko sawa kweli?

- furaha yangu imekua kubwa sana, eti ndege hazina kazi , saahv sichelewi tena vikao ni chap tu, yaani ingewezekana hata huyo mmoja angechukuliwa jimbo tu maaana chama cha kipuuzi sana icho, kama ni upinzani utengenezwe mwingine
 
Ccm wengi hawana akili ndo maana wengi mpo hiki chama cha vilaza.
Eti kwa sababu ana kesi zikisikilizwa hawezi kushinda hizo kesi.
Tangu lini kesi za kubambikiwa zikatoboa?,au kwa sababu mwenyekiti wako ana uwezo Wa kuwaamuru mahakama wapindishe sheria.

Ubungo fly over haina kazi, WTF wewe ushakaa buguruni wewe? Ushakaa Sam mujoma? Kifutwe chama kizima
 
Mbinu zao zimefeli, hawa MABEBERU ni watu hatari sana.. Wapo tayari kuiingiza nchi kwenye vita kama hutimizi maslahi yao! Siyo marafiki hata kidogo, inahitajika akili ya ziada kuwafahamu.
Wewe unastahili matusi yote tuu. Jee hii ni kazi ya mabeberu?
Mkitukanwa mnaona watu wabaya, pumbavu sana!
IMG-20201030-WA0016.jpg
IMG-20201030-WA0015.jpg
 
Tundu Lissu wap eleke mchaka mchaka 😂
Lissu kashindwa Kwa sababu mwongo mwongo mara alitaka lockdown mara alitaka ushoga, pia watanzania wakastuka mgombea gani analetwaga Na Robert wa wamarekani!?
 
Nigeria iliwahi kuvuliwa uanachama kwa miska mitatu, ukivuliwa uwanachama hupati ile ruzuku ya maendeleo ya kila mwaka kutoka kwa nchi mama.
Magu alishasema nchi yetu haihitaji misaada ya masharti. Kama wanadhani watamtingisha Magu kwa kuvuliwa uanachama watafeli sana.

Upinzani wajipange upya. Suala la Sera zao, kejeli za Lissu, na kuchokwa kwa wabunge majimboni, kutokuwa na mawakala waaminifu limechangia kushindwa kwao
 
Back
Top Bottom