Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
Huyu jamaa angekaa mbali, mambo mengi yasingekuwa hivi yalivyo. Hakuna power inayoenda kwa stranger. Hata kwenye law firm yake mambo hayako hivyo.