Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Uchaguzi 2020 Amsterdam aomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Tuelezeni kula feki zilitoka wapi? kwa mabeberu? msimsingizie Lisu mchawi ni kura feki mbona tukifika hapo mnahamisha magori. nani kaingiza mikura feki???????!!!!!!!??????!!!??
 
Amsterdam hana lolote cha kututisha mimi mwenyewe nasema hawezi hata kunitisha na kidegree chake kimoja cha sheria.
Alafu wanasheria bhana, kamlaghai mshikaji pesa yake yote. Na asipo shituka jana atakula pesa yote.
Shida wana sheria hujiona wana akili sana meanwhile wale wasiojiweza ndio husoma sheria.
 
Amsterdam hana lolote cha kututisha mimi mwenyewe nasema hawezi hata kunitisha na kidegree chake kimoja cha sheria.
Alafu wanasheria bhana, kamlaghai mshikaji pesa yake yote. Na asipo shituka jana atakula pesa yote.
tuambieni kula feki zimetoka wapi? msihamishe magori
 
Tuelezeni kula feki zilitoka wapi? kwa mabeberu? msimsingizie Lisu mchawi ni kura feki mbona tukifika hapo mnahamisha magori. nani kaingiza mikura feki???????!!!!!!!??????!!!??
Be honest uchaguzi haukuwa competitive. Ni watu wasioelewa tu ndio walijua Lisu atapata hata 5%
 
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadirifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
[emoji3][emoji3][emoji3]pesa yake imeliwa. Alidhani watanzania nao hawajielewi. Sisi Ni Watanzania na hiki Ni kisiwa cha Aman. Mtu akishajulikana ni kibaraka watu wanaenda kwa wingi kumshangaa kisha wanamkataa
 
Sasa tutapata maendeleo maana wapinzani wa maendeleo hawatakuwepo bungeni au siyo?
 
Jumuia ya madola haina ruzuku wewe. Kuna michango kibao kwa ajili ya mikutano.
Kuna Departement of Internationaal Aid, waziri wake huwa anazitembelea nchi zote za kumuia. Kuna wakati walian- kujadili kuzikopesha nchi wanachama hizi pesa kwani wanaona hazileti mabadiliko yeyote katika kujikwamua na umasikini. Tofauti na Newzeland, Australia na Canada ambako wanao yeah ws miradi iliyotokana na pesa hizo.
 
Chadema ina uhusiano wa kimaslahi makubwa na Matycoon wa Siasa za Africa.Hawa watu wapo teari kumwaga damu ili watawale vibaraka wao kwa maslahi yao.Amsterdam analipwa na hawa Matycoon kuakikisha mauaji yanatokea Tanzania au jumuia za kimataifa zinasitisha ushirikiano na Tanzania ili Watanzania wapate shida.Hili haliwezi kutokea ndni ya Seriakli ya Awamu ya Tano
Kumbe!.Je,serikali ya awamu ya tano itawezaje kuzuia tusiwekewe hivyo vikwazo?
 
Soma ripoti za waangalizi wa uchaguzi pamoja na taarifa ya ubalozi wa Marekani ya jana ndo utaelewa.Wamesema wameona kura zilizopigwa kwa wagombea kabla hata ya uchaguzi kufanyika hvyo uchaguzi una mashaka makubwa juu ya uhalali.Just be impartial
RIPOTI NIMEZIONA WAMESHAURI KUWA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO TUANGALIE VITU KAMA HIVYO HATA MIMI NAKUBALI TUTAVIANGALIA LAKINI uchaguzi umeisha tumeshinda WACHA MAISHA YAENDELEE KAMA UNABISHA UTAKACHOKIFANYA UKIKUTANA NA VIJANA WA MAMBOSASA NDUGU ZAKO NDIYO UTAWASUMBUA
 
Kuna Departement of Internationaal Aid, waziri wake huwa anazitembelea nchi zote za kumuia. Kuna wakati walian- kujadili kuzikopesha nchi wanachama hizi pesa kwani wanaona hazileti mabadiliko yeyote katika kujikwamua na umasikini. Tofauti na Newzeland, Australia na Canada ambako wanao yeah ws miradi iliyotokana na pesa hizo.
HATUNA SHIDA NA MIPESA YENYE MASHARTI KIBAO TUNA PESA YA KUTOSHA
 
Huyu jamaa mm ningekuwa nimesomea sheria ninge deal naye mwenyewe. Maana inaonyesha elimu yake ni ndogo mnoo, lkn anajidai kwelikweli.
Trust me ungekuwa umesoma sheria au kitu kingine chochote na kubobea usingekuwa na m tazamo huo ulio nao and hence usingekuwa na sababu ya ku deal nae huyo jamaa.
 
uadui utakaotokea ni ccm vs upinzani, tutafunzana adabu wenyewe kwa wenyewe, sio kila mtu anayeweza kuliona hilo likija
 
Mkuu "Mgegedwa", wewe upo kundi lipi kati hayo: lb7, Taga, CCM, Mwuaji, au mwizi? Hoja ni kuwa hayo hayawakilishi watanzania.

Wewe huoni hivyo Mr. Delicious?
Najua ni hasira tu zimekuzonga mkuu, cha muhimu tulia tu sindano izame vizuri,

Mbaya zaidi wananchi wamempuuza Lisu yani juhudi zote za kutaka muandamane mmempuuza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa sababu wamekuzimia mitandao ya kijamii na media za ndani ni za kina paschal na kina dialo bila shaka utakuwa unadhani hata Pemba pia kupo shwari na wanashangilia ushindi tu kama ilivyo hapo ofisi ndogo Lumumba ulipo.
 
TUNDU LISSU BANA ALIPANDA HADI MTUMBWI 😂🤣😂🤣😂🤣 huyu Jamaa naaamini Zile Risasi Zilimuathiri kichwani Yaani Aliamini kabisa Anshindaaa. Mitumbwii Mpooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom