Watasema yote mwaka huuu hawa chademaJana China wameingia mkataba mpya wa kununua soya Tanzania, je una laana ingine imebaki!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watasema yote mwaka huuu hawa chademaJana China wameingia mkataba mpya wa kununua soya Tanzania, je una laana ingine imebaki!!?
Aongelee issue ya Maalim Seif kwani Maalim Seif anaunga mkono ushoga? Amsterdam anamaslahi na Lissu kwa kuwa Wana Jambo lao la mashoga.Huyu ajax Amsterdam anatetea maslahi ya lissu?, Chadema?, Au Tanzania maana hasikiki akizungumzia inshu za maalim seif au ndo muda wa Kila mtu ale size yake
Wewe inaonekana hata Amsterdam akikuomba tk unatoa bila hiyana. Una mahaba sana na ngozi nyeupe. Una watoto?Wacha dunia nzima ijue uhuni wao.
Halafu kesho muanze kuwalilia njaa hao mabeberu, mtavuna mlichokipanda wajinga.
Hiyo nyumba kwa nyumba hamkuiona wakati wa uchaguzi mgombea wenu akawa anaruka na chopa hata bila kibali Sasa Leo nyumba kwa nyumba mnaweza kweli?Fanyeni hamasa ya nyumba kwa nyumba.
Kwani enzi za harakati za kina hayati karume na Nyerere kulikua na mtandao? Waliji organise aje😁😁
Ahahaha. Na alivyo na hamu na tundu siku wakikutana ni mahaba kwa sanaAongelee issue ya Maalim Seif kwani Maalim Seif anaunga mkono ushoga? Amsterdam anamaslahi na Lissu kwa kuwa Wana Jambo lao la mashoga.
Mpikie mumeo wewe mdangaji ohoo utaachikaAongelee issue ya Maalim Seif kwani Maalim Seif anaunga mkono ushoga? Amsterdam anamaslahi na Lissu kwa kuwa Wana Jambo lao la mashoga.
😂😂😂 na Kati ya HollandHuyu ajax Amsterdam anatetea maslahi ya lissu?, Chadema?, Au Tanzania maana hasikiki akizungumzia inshu za maalim seif au ndo muda wa Kila mtu ale size yake
Nyie endeleeni kusikiliza hao wazungu na Hilo beberu lake Amsterdam, hapa Tanzania sisi wengine tunafanya maamuzi na kusikiliza viongozi wetu na kuchapa kazi na kuwachapa kichapo Cha shoga mwizi. Sasa mtatapatapa kila Kona eti oooh marekani kasema Mara ooh Amsterdam. Mwenzenu tar 18 Dec anaondoka na beberu lake.Soma ripoti za waangalizi wa uchaguzi pamoja na taarifa ya ubalozi wa Marekani ya jana ndo utaelewa.Wamesema wameona kura zilizopigwa kwa wagombea kabla hata ya uchaguzi kufanyika hvyo uchaguzi una mashaka makubwa juu ya uhalali.Just be impartial
Wakili wa aliyekuwa mgombea Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, Robert Amsterdam ameiandikia barua jumuiya ya madola na kuiambia kuwa kuna ubadhilifu mkubwa umefanyika katika uchaguzi wa Tanzania hivyo ameomba Jumuiya ya Madola kuingilia Uchaguzi huo.
Mbona na baba yako ni shogaAhahaha. Na alivyo na hamu na tundu siku wakikutana ni mahaba kwa sana
Kichapo Cha shoga mwizi Kiko pale pale. Hata mtukane baba zenu uchaguzi tayari subirini 2025.Mpikie mumeo wewe mdangaji ohoo utaachika
Tulia beberu lipate raha mwaka huu lazima mjifugue mashombeshombeKichapo Cha shoga mwizi Kiko pale pale. Hata mtukane baba zenu uchaguzi tayari subirini 2025.
Na Yule waziri mkuu wa Hai, Mzee wa bapaMkuu tundu lissu mnamwapisha lini mmepigwa kipingo kitakatifu
Vipi unataka kuchezea mpini wake?Na Yule waziri mkuu wa Hai, Mzee wa bapa
Comred 😁😁😁😁😁 ujumbe murua kwa vibaraka huuHiyo nyumba kwa nyumba hamkuiona wakati wa uchaguzi mgombea wenu akawa anaruka na chopa hata bila kibali Sasa Leo nyumba kwa nyumba mnaweza kweli?
Kichapo Cha shoga mwizi hiki kamwambieni Amsterdam atawapa urais.
Askofu chidi, umeshnda kawe bhana [emoji23][emoji23][emoji23]yaani uchaguzi wa tanzania unawauma sana watu wa nje wakati watanzania wamefanya maamuzi yao wenyewe ko watanzania walio wengi hawana haki yakumchagua kiongoz wanayemtaka
Naunga mkono hoja zakoHuwa wanajibu hizo barua au wanatekeeza tu?!
Jumuiya hizi hazina msaada wowote, mpaka muanze kuuana.
Hivi kimya kimya mtasubiri sana.
kilichopitishwa mbinguni hakiwezi kataliwa dunianiAskofu chidi, umeshnda kawe bhana [emoji23][emoji23][emoji23]