Amtimua mke wake usiku wa kuamkia leo huku akimsindikiza kwa kipigo na matusi

Amtimua mke wake usiku wa kuamkia leo huku akimsindikiza kwa kipigo na matusi

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Wakuu hizi ndoa hizi zina mambo!

Iko hivi,
Jana mida ya saa nne usiku , nilingia gheto toka kwenye harakat za mapamabano ya maisha , nikapumzika kwanza kwa sebule nikipiga stori na mwandani wangu kwa phone ( maana hause niliyopanga ina sebule ambapo huwa tunakaa kubadilishana mawazo na kila mtu ana room lake )

Nili-decide kuingia kwa bafu kuoga na baadae nikarudi pale pale kufanya mambo yangu ya kiofisi, kwenye mida ya saa sita na dakika kadhaa nikasikia mlango wa nyuma unasukumwa kuchungulia ni mke wa mpangaji mwenzangu , tukapeana hai mara akazama kwa chumba Chao!

Alipoingia tu,, ghafla nikasikia vipigo vya makofi na ngumi na kilio kwa sauti kuu cha mwanamke huyo, huku sauti ya mwanaume ikisikika akihoji ulikuwa wapi usiku huu, unanifanya bwege si ndiyo?? Bas nikatulia kdogo ili nistaajabu ya musa kabla yake bwana Haruni!

Sijakaa sawa naona mtu kasukumizwa mpaka chini kwenye mlango akipigwa mabuti ya kutosha na Kisha jamaa kamvuruta mpaka nje akalock mlango wa nyuma Kisha kaingia kwenye room lao kalock kapiga usingizi,

Mimi naye nikasema isiwe tabu nikabeba tools zangu nikaingia gheto nikalock nikafungulia mzik kwa chini nisisikie kelele za kilio cha mwanamke huyo nikapiga usingizi!!
 
Women have lost respect for themselves.

Manina... Hata kama ni kutombwa,, ndo urudi saa sita?? Mke wa MTU ??.

Wafukuzen kabisa, msiwaonee huruma. Tena toeni vipigo vya mbwa koko na matusi juu...... Yaan muwatreat kama mwanadamu tu sawa na alivyo mwanaume mwenzio. Msiwape usipesho wowote kisa jinsia zao ni Ke.

Bahati nzuri. mchepuko. Hauoi..
 
Duuh!!
 
Wakuu hizi ndoa hizi zinamambo!!

Iko hivi,,
Jana mida ya saa nne usiku , nilingia gheto toka kwenye harakat za mapamabano ya maisha , nikapumzika kwanza kwa sebule nikipiga stori na mwandani wangu kwa phone ( maana hause niliyopanga ina sebule ambapo huwa tunakaa kubadilishana mawazo na kila mtu ana room lake )
Hatari huyu amuulize mwenzake Zouma kamsukuma paka tu huko mashambulizi kila kona....
 
mkuu punguza
IMG_20220210_104752.jpg
unaharibu hadi shape ya kichwa
 
Back
Top Bottom