Amtimua mke wake usiku wa kuamkia leo huku akimsindikiza kwa kipigo na matusi

Amtimua mke wake usiku wa kuamkia leo huku akimsindikiza kwa kipigo na matusi

Wakuu hizi ndoa hizi zina mambo!

Iko hivi,
Jana mida ya saa nne usiku , nilingia gheto toka kwenye harakat za mapamabano ya maisha , nikapumzika kwanza kwa sebule nikipiga stori na mwandani wangu kwa phone ( maana hause niliyopanga ina sebule ambapo huwa tunakaa kubadilishana mawazo na kila mtu ana room lake )

Nili-decide kuingia kwa bafu kuoga na baadae nikarudi pale pale kufanya mambo yangu ya kiofisi, kwenye mida ya saa sita na dakika kadhaa nikasikia mlango wa nyuma unasukumwa kuchungulia ni mke wa mpangaji mwenzangu , tukapeana hai mara akazama kwa chumba Chao!

Alipoingia tu,, ghafla nikasikia vipigo vya makofi na ngumi na kilio kwa sauti kuu cha mwanamke huyo, huku sauti ya mwanaume ikisikika akihoji ulikuwa wapi usiku huu, unanifanya bwege si ndiyo?? Bas nikatulia kdogo ili nistaajabu ya musa kabla yake bwana Haruni!

Sijakaa sawa naona mtu kasukumizwa mpaka chini kwenye mlango akipigwa mabuti ya kutosha na Kisha jamaa kamvuruta mpaka nje akalock mlango wa nyuma Kisha kaingia kwenye room lao kalock kapiga usingizi,

Mimi naye nikasema isiwe tabu nikabeba tools zangu nikaingia gheto nikalock nikafungulia mzik kwa chini nisisikie kelele za kilio cha mwanamke huyo nikapiga usingizi!!
Sasa Mkuu si unngetoa Msaada kidogo kwa Jirani? Ungekuwa Msamaria Mwema…
 
Nlitaka kuwajulisha wana jamii kuwa ndoa zina changamoto nyingi sana na nyingine sio za lazima Kama wanandoa wako makini zinaepukika
Sasa mwanamke kurudi saa 6 ya usiku kwa mumewe we unaona lipo sawa hilo? Huyo katoka kutiwa mahali mabuti ilikuwa stahili yake kabisa
 
Back
Top Bottom