Amtimua mke wake usiku wa kuamkia leo huku akimsindikiza kwa kipigo na matusi

Sasa Mkuu si unngetoa Msaada kidogo kwa Jirani? Ungekuwa Msamaria Mwema…
 
Nlitaka kuwajulisha wana jamii kuwa ndoa zina changamoto nyingi sana na nyingine sio za lazima Kama wanandoa wako makini zinaepukika
Sasa mwanamke kurudi saa 6 ya usiku kwa mumewe we unaona lipo sawa hilo? Huyo katoka kutiwa mahali mabuti ilikuwa stahili yake kabisa
 
Angemuuliza kwanza labda alitekwa
Mpaka anakula kichapo mana yake maelezo hayajajitosheleza😅 unaulizwa ulikuwa wapi unatoa mimacho kama Ndubwi! Lazma Mkong’oto FC uhusike.

Unafaya umalaya ndio ila ndio unijie saa 6 usiku na simu ulizima? Ntakupiga nikuue shenzyyy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…