Amtimua mke wake usiku wa kuamkia leo huku akimsindikiza kwa kipigo na matusi

hana maana alikua na nafasi kubwa sana kutatua huo ugomvi....
make angemfungulia mlango huyo mwanamke, goma likazama ndani lazma tu mme angekuja nduki kumuijia mkewe
Afu mume angeenda kujisevia sana kwa hofu ya kuporwa mke.
 
Afu mume angeenda kujisevia sana kwa hofu ya kuporwa mke.
usiku mzima angebaki anasikia tu makofi ya pwaaa pwaaa pwaaa makofi ya wowowo, sasa hapa anatusimulia nini sijui sijamuelewa naona kama kachangia kuvunja ndoa ya watu
 
usiku mzima angebaki anasikia tu makofi ya pwaaa pwaaa pwaaa makofi ya wowowo, sasa hapa anatusimulia nini sijui sijamuelewa naona kama kachangia kuvunja ndoa ya watu
Yaani hapo angesikia nipe ya Panya nani yuleee, mara nisusie loh.
 
ahahaha, ungejichanganya ulete uroho kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…