Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Umeona mtumishi............ananitakia mema huyu.
Mwangalie sana huyo kiumbe
Tena huyo bazizi mwanalakhun Asprin yote yanawezekana!!Ngoja nifanye uchunguzi wa kina!
Mwenyewe nipo siti ya nyuma, nasubiri kama nitahamishiwa mbele.....
Nimesasha mshtukia i see.Na hanopati ng'o.......
. . . . Mungi acha urongo!
Hahahaaaaaa..................... wakati kwenye PM tumeshakubaliana hahaaaaaaaa.............. pole Nicas Mtei
KOKUTONA nipo naye.................... sema lingine
Kuna watu ni wanoko sana hasa Nicas Mtei, anatabia ya kurusha ndege za watu....................... nawe kula kimya bana kha!
Kuna watu ni wanoko sana hasa Nicas Mtei, anatabia ya kurusha ndege za watu....................... nawe kula kimya bana kha!
Hahahaaaaaa..................... wakati kwenye PM tumeshakubaliana hahaaaaaaaa.............. pole Nicas Mtei
Wee Mungi weweee, usinisngizie.......i am serios.