Amu yawezekana nikakubadilishia uelekeo???

Amu yawezekana nikakubadilishia uelekeo???

“Jamani vita vya panzi nafuu kwa kunguru” ila hapa nauliza amu ninaweza kukudivert kwenye njia yangu?Ila kama hautajali na mimi I’ll take an extra care please popote ulipo pokea huu ujumbe japo ni mfupi lakini ni mzito sana!Nitaomba mwenye access na amu ani PM niweze kuongea naye juu ya huyu mwana dada!Na mimi nimeamua kuoga maji baridi nimeisha kata shauri mwongozo tafadhari!


kweli nimemiss vingi
 
hahhahahhahahaha...............utajibebajeeeeeeee!!!!!!!!!
mwaka huu utaisoma namba ya kegete
ahaaaaa najua wapi ulipo ...ila wale waaminio watanibeba nakunifikisha safari yangu!!
 
ahaaaaa najua wapi ulipo ...ila wale waaminio watanibeba nakunifikisha safari yangu!!
hivi mwali snowhite unaweza kunikumbusha zile lyrics za wimbo wa TMK kutushusha sisi kazi ipooooooooooooo................
 
Last edited by a moderator:
Mimi siyo mtu wa media hivyo kama tunabwagana kwenye mitandao naona hii yangu haitakuwa story!!....
CC, Tulizo, Paloma, Madame B, Asprin, Kipaji Halisi, Arushaone, watu8, Kaizer, gfsonwin.....Nakutakia kila la heri uko uendako ila kiukweli kama ndo tabia hii unayo basi ni hakika safari unayo ndefu kwani wanaume wote tuko hivi!!Ila jua mimi nafasi ya upendo moyoni mwangu umeacha pango kubwa kama siyo pengo!!
Lahaula Lakwataaa!

Bado sijhamariiza.... hivi duka zima shiringi ngapi?
 
Back
Top Bottom