Amu yawezekana nikakubadilishia uelekeo???

Amu yawezekana nikakubadilishia uelekeo???

Mmmh! habari zenyewe naona zimewekwa nusunusu, wakitoa breakdown yake nadhani nitakuwa na wakti mzuri wa kutoa jibu mujarabu

Na kweli hazijafunnuka kisawa sawa, ngoja tuone.

Mambo mengine niaje?
 
Last edited by a moderator:
nilimkubali leo nambwaga hapa kanishinda mara nivea mara lara1 mara natamani nimwone preta ha
Kipaji Halisi watu8 Paloma Nivea Madame B Asprin Tulizo Kaizer Bishanga Filipo
huyu mtu kanishinda nambwaga hadharani
Mimi siyo mtu wa media hivyo kama tunabwagana kwenye mitandao naona hii yangu haitakuwa story!!....
CC, Tulizo, Paloma, Madame B, Asprin, Kipaji Halisi, Arushaone, watu8, Kaizer, gfsonwin.....Nakutakia kila la heri uko uendako ila kiukweli kama ndo tabia hii unayo basi ni hakika safari unayo ndefu kwani wanaume wote tuko hivi!!Ila jua mimi nafasi ya upendo moyoni mwangu umeacha pango kubwa kama siyo pengo!!
 
whaaaaaaaaaaaaaattttttttttttttttttttttttttttttt????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
KakaKiiza ha ha ha
we mwenyewe ulianzisha huku nikakukubali hapa na nakuacha hapa
halafu wanaume wote hawawi hivyo

hahahhahahah we mtotot wewe... unacheza kamari? kuna kubambwa na kubamba, kipi kimekupata kati ya hivyo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom