:nono::nono::nono:
Kwa kibano nilichompa jana akionekana huku nitajua huyu mbinti ni mkorofi
Hii ni ukatili wa kijinsia na ninaona jela inakuita! Copy kwa Mods wote
Hii haihusu jinsia mkuu ni amri.............................. nimempiga marufuku kuzurura
Tangu umetoka selo umekuwa na amri za kipolisi eeh!?
Viagra 100gm + Malaria .......... halafu ubaki mzima? KOKUTONA atakuwa kwenye usalama wa kutosha................ Atakuwa pale kwa siku atakazofikia.......
Viagra tena? Nguvu za kawaida zime under do disintegration? Mungi ya kweli hayo, utaacha nije kesho, nina hamu ya kulalia magodoro ya Arusha, yaitwaje vile?
Hahahaaaaaaaaaa.................... unajua Makada huwa wanaishiwa nguvu zote kuanzia kichwani mpaka kwenye kifanyio. Ukitaka kujua viagra ina soko tembelea viwanja vya bunge dodoma............ zinauzwa kama korosho!
Karibu Arusha kuna Magodoro mengi, kuna Mungifoam, Filipofoam, Erickb52foam, PakaJimmyfoam, na Arushaonefoam.
Ila godoro bora na imara ni Mungifoam, ni nzuri kwa kukalia na kulalia vilevile!
Hapa Majungu pembeni sawabibie