Amueni moja mpeni huo Mshahara wa Milioni 40 au Muuzeni kwa tumechoka sasa na Kuvutana Kwenu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kwa Washambuliaji mahiri waliowahi kupita / kucheza Yanga SC hata huyu Mayele bado hajafikia 50% isipokuwa saaa anaimbwa na kupambwa kwakuwa tu Nyota imemuwakia na Vyombo vya Habari nchini Tanzania vinampamba mno ila ni Mchezaji wa Kawaida tena sana.

Na kwa huku Kuvutana Kwenu nae kwa Siku ya 5 sasa huku akiwa bado hataki Kusaini Yanga SC mkimsajili kwa Kumbembeleza huko mtasababisha Mgawanyiko kama siyo Mpasuko mkubwa ndani ya Kikosi na mkajikuta mnaiharibu Timu nzima na ikafanya vibaya mkaanza Kuparurana na Kuvurugana kabisa.

Mruhusuni aende huko ambako anataka kwenda kwenye Fedha na nyie anzeni sasa Kumuamini kwa 100% Mshambuliaji Kennedy Musonda ambaye Kwangu Mimi Kiufundi na Kiuwezo namuona ni mzuri / zaidi hata kuliko Fiston Mayele sema tu kaja katikati ya Msimu na kamkuta Mayele Gari limeshawaka na anakubalika na kuaminika zaidi na aliyekuwa Kocha Mkuu Nabi, Viongozi, Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Klabu ya Yanga.

Mwacheni aende Yeye siyo Mungu.
 
Mwamedi amekata tamaa na transformation, ungejikita huko ndio kunakuhusu.

Kama Mayele ni kawaida mbona kila siku unamkatia viuno JF?
 
mpunga unapungua... Wali waliwa... mchele chelewa...
 
Huyo bwana akiondoka tabu watakayopata wanahifamu vizuri ndiyo maana vikao haviishi..
 
Back
Top Bottom