Amuua mke wake baada ya Mganga kumwambia atamuona ndotoni

Tabora Geita Njombe hii mikoa kwa mauaji yasio kuwa na kichwa wala miguu inaongoza taifa linapoteza watu kwa vitu vya kijinga
Hayo maeneo hatari sana nakuhakikishia kwa uzoefu wangu hakuna watu wana roho mbaya kama watu wa zone hizo.We waone mjini kama mafala ila ukiingia kwenye machaka yao ndio utajua majamaa ni manyama.
 
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Ali Idd Mkonongo, mkazi wa Kijiji cha Inala kwa tuhuma za kumuua mke wake aliyefahamika kwa jina la Mariam Yusuph kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati akiwa amelala majira ya saa sita usiku, kisha kuuchukua mwili na kuutumbukiza kisimani kwa lengo la kuficha ushahidi.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Richard Abwao, mwanaume huyo alitekeleza mauaji hayo baada ya kutoka kupigiwa ramli kwa mganga wa kienyeji na kuelezwa kwamba atamuona mchawi wake ndotoni. Baada ya kumuota mkewe, Ali amiamua kufanya mauaji hayo akitekeleza kile alichokiota ndotoni.

Mtuhumiwa atafikishwa mahakamani mara baada ya kukamilisha taratibu za uchunguzi dhidi ya mauaji hayo.
NDIO MAANA CCM INASHINDA UCHAGUZI KILA MWAKA!!
 
Mambo mengine yanachangiwa na elimu duni.Kuna aina za ndoto tena ndoto nyingine ni marejeo ya matukio uliyoyawaza kutwa.
 
Hao watu ndio mtaji mkubwa wa chama ukiwapa kofia na shati ndio basi tena
... you're right. Hata ikiamuliwa Katiba Pendekezwa (ya Warioba) ikapigiwe kura leo watu aina hii watamiminika kwa wingi kwenda kupiga kura ya NO; kwamba iliyopo inatosheleza mahitaji kwa sasa hatuhitaji katiba nyingine zaidi ya ile 1977!
 
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Ali Idd Mkonongo, mkazi wa Kijiji cha Inala kwa tuhuma za kumuua mke wake aliyefahamika kwa jina la Mariam Yusuph kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati akiwa amelala majira ya saa sita usiku, kisha kuuchukua mwili na kuutumbukiza kisimani kwa lengo la kuficha ushahidi.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Richard Abwao, mwanaume huyo alitekeleza mauaji hayo baada ya kutoka kupigiwa ramli kwa mganga wa kienyeji na kuelezwa kwamba atamuona mchawi wake ndotoni. Baada ya kumuota mkewe, Ali amiamua kufanya mauaji hayo akitekeleza kile alichokiota ndotoni.

Mtuhumiwa atafikishwa mahakamani mara baada ya kukamilisha taratibu za uchunguzi dhidi ya mauaji hayo.
Kalunya Ivan Breaker GENTAMYCINE Shimba ya Buyenze Taavid kichomiz Marco Polo Ugm bin champion Unique Flower Sir Midabwada Mshana Jr Lavit JAYJAY Therealmike25
 
Back
Top Bottom