Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa ni makatili sana aisee yaani pesa ya mbuzi?? Sasa ingekuwa pesa ya kuuza shamba au nyumba sijui ingekuwaje.Kanda ya ziwa tena
Duh
Ova
Mkuu mikoa ya Lindi na Mtwara pia kuna umasikini mkubwa sana, tena kushinda huko kanda ya ziwa but huwezi sikia wanauana kijinga hivi kama hawa wenzetu. Kuna siku nilikuwa Katavi (kuna wasukuma wengi huko siku hizi) nikakuta jamaa amemcharaza mapanga mkewe na kukimbia kisa mke kauza mpunga gunia moja ili kumtibia mtoto wao aliyekuwa amezidiwa.Poverty is a big motivation
Nlikuwa hko kipindi fulani kwenye ki groceryHawa jamaa ni makatili sana aisee yaani pesa ya mbuzi?? Sasa ingekuwa pesa ya kuuza shamba au nyumba sijui ingekuwaje.