Mkuu mikoa ya Lindi na Mtwara pia kuna umasikini mkubwa sana, tena kushinda huko kanda ya ziwa but huwezi sikia wanauana kijinga hivi kama hawa wenzetu. Kuna siku nilikuwa Katavi (kuna wasukuma wengi huko siku hizi) nikakuta jamaa amemcharaza mapanga mkewe na kukimbia kisa mke kauza mpunga gunia moja ili kumtibia mtoto wao aliyekuwa amezidiwa.
Nlikuwa hko kipindi fulani kwenye ki grocery
Alitokea mtu anamdai jamaa 5000 alitoa panga alimpa ya kichwa Sema alimpiga kwa ubapa Dah
Huko watu roho zao kuua nyepesi sana