Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Duuu!! Ulichukua hatua gani ??
Wakati tunapiga stori nikamuuliza wewe ni mwaume au ni mwanamke? akaniambia yeye ni mwanaume nikamuuliza kwanini unafanya hiki kitendo akaniambia ndivyo alivyozaliwa kiujumla nilimkataa nikamuonya aache hicho kitendo.
 
Naamini katika nature, vitabu vya maandiko ya Kidini ikiwemo Biblia na Quran.

Unataka maandiko?
Ndio. Yaweke hapa na uonyeshe mahali pameandikwa muue.
Kama haijaandikwa hivyo usilete maandiko.
 
Kwani unadhani ushoga sio jambo la kawaida? Mwenzenu Diamond juzi kati hapa jukwaani kapanda na shoga, shoga anakata mauno domo anambashia watu weweeeeee wanashangilia.

Mashoga wana baraka zote za serikali yenu, ndio maana hawasumbuliwi wanajionyesha wazi bila kificho. Time will tell.
Niliicheki ile clip nilichoka unajua
 
Kuna dini moja huko nchi ya mbali wako tayari waandamane kisa mabucha ya nguruwe lakini kwa hili la ushoga wala hutowasikia ndo kwanza utawasikia eti suna yahee.
 
Only kwa huyo baba muoga ndio maana sasa hivi anajificha kama digi digi kwenye misitu ya Kongo,

Mwambieni arudi jamani
Damu ya shoga ipo juu yake mwenyewe shoga , Yani hapo ile amri ya usiue hai apply
 
naona haki za binadamu zinatetea ushoga kwa kasi ya juu
mleta mada mwenyewe inaonekana pungastick
 
Ndio. Yaweke hapa na uonyeshe mahali pameandikwa muue.
Kama haijaandikwa hivyo usilete maandiko.

Zingatia Aya zote Ila jibu lipo Aya ya 29, iliyokolezwa
Mambo ya Walawi 18:22
Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.

Mambo ya Walawi 18:23
Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko.

Mambo ya Walawi 18:24
Msijitie unajisi katika mambo hayo hata mojawapo; kwa maana hizo taifa nitakazozitoa mbele zenu zimekuwa najisi kwa mambo hayo yote;

Mambo ya Walawi 18:25
na hiyo nchi imekuwa najisi; kwa ajili ya hayo naipatiliza uovu wake juu yake, na hiyo nchi yatapika wenyeji wake na kuwatoa.

Mambo ya Walawi 18:26
Kwa hiyo mtazishika amri zangu na hukumu zangu, wala msifanye machukizo hayo mojawapo; yeye aliye mzalia, wala mgeni aketiye kati yenu;

Mambo ya Walawi 18:27
(kwa kuwa hao watu wa nchi wameyafanya machukizo haya yote, hao waliotangulia mbele zenu, na hiyo nchi imekuwa najisi😉

Mambo ya Walawi 18:28
ili kwamba hiyo nchi isiwatapike na ninyi pia, hapo mtakapoitia unajisi, kama ilivyoitapika hiyo taifa iliyotangulia mbele yenu.

Mambo ya Walawi 18:29
Kwani mtu awaye yote atakayefanya machukizo hayo mojawapo, nafsi hizo zitakazoyafanya zitakatiliwa mbali na watu wao.


Mambo ya Walawi 18:30
Kwa ajili ya hayo yashikeni mausia yangu, ili kwamba msifanye kabisa desturi hizi zichukizazo mojawapo, zilizotangulia kufanywa mbele zenu, wala msijitie unajisi katika mambo hayo; mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
 
Una uwakika na unachokiongea kila mada nipo mkuu? Apart from that umeona sehemu yoyote ninayosupport huo uovu?
Too much Hate means Love,
Ukiona Mtu mishipa ya shingo ina msimama kupinga jambo ambalo hana hasara nalo basi ujue analipenda
 
Bwana Mokiti naona unikumbushe Amri 10 za Mungu please,
Tangu mchana unanizungusha kuna nini kwani [emoji848]
Nimekukumbusha moja usiue

Ila shoga kashahukumiwa kifo na mungu kasema sisi ndio tutatekeleza
Na katuambia damu yake ipo juu yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom