Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 1,513
- 2,019
M NAKWAMBIA huyu sis nilikuwa nikienda Moshi ndio demu wangu aisee siku kaka kanikuta nae alifyum NKAMWAMBIA anakutom..nnn mbona sielewiHayo yapo sana mkuu.
Mtu akienda kuchumbia anatimuliwa kama mbwa, ukiuliza sababu, eti jamaa hajafuata utaratibu, kaonesha dharau!
Kumbe ni hawala wa kakamtu!
Hapana yawezekana itikadi za kidini aul jamaa alitaka amuoe kama mke wa piliSiyo 'alitaka', saazingine 'alikuwa'!
We jamaa una madini Sana SEMA changamoto uandishi..M NAKWAMBIA huyu sis nilikuwa nikienda Moshi ndio demu wangu aisee siku kaka kanikuta nae alifyum NKAMWAMBIA anakutom..nnn mbona sielewi
AKASEMA hamna ana WIVU...kesho yake nkaita MADOGO janja wangu
Nkaita Binti kaka sijui nani kamwambia Niko bat hio HUYO..alipoona MADOGO wamejaa akawa mdogo akaaa bar akamwita mdogo wake
Clara akaaga naomba nikamsikilixe nkajibu sawa kaenda anakwambia hataki kumwona
NKAMWAMBIA ASUBURIE NIKAITA GARI AKAINGIA KWENYE GARI MADOGO WAMEKAA TU WANAMZOOM NKAENDA GUEST KABLA YA KUGONGA NKACHUKUA SIMU YAKE NKAMWEKA KINDEGE SAA 12 NKAMRUDISHA KWAO
KESHO YAKE SAME KAKANYAGA MOTO LODGE KULA KUNYWA....GONGA MPAKA 12
NXTY DAY SAME AISEE ALIPONIONA SIKUYATATU NKAMRUDISHA DADAKE NKAONA NAITWA SHEMEJI HATUNYWI MBILITATU
BADAAE NKAWA PEKEYANGU NDIO AKAJA JAMAA MMOJA AKASEMA HAHAHAA UNAMOYO YULE BR ANAKULA DADAKE NDIO MAANA ALIKUWA ANAKAUMAINDI SANA
LOH
SIJARUDI TENA
Ita kua Kati ya hayo mawili moja wapo ni sahihi.Hapana yawezekana itikadi za kidini aul jamaa alitaka amuoe kama mke wa pili
Kama wameamuwa huna huo ubavu wa kuwakataza wataolewa na hakuna kitu utafanya.kama marehemu ni kobz kwakweli niweke wazi hisia zangu (mnisamehe) siwezi kuruhusu dada yangu au mtoto wangu kuoa au kolewa na watu wa dini hio
katu katu siwezi
Madini yanaumixa mkuu imagine alipopita kaka na mm najikagua hapohapo s LAANA. HiooWe jamaa una madini Sana SEMA changamoto uandishi..
Nakuwaga interested na story zako..
Una hoja nzito, naomba izingatiwe kwa kweli.Una weza kukuta kaka nae alikuwa mke mweza maana Dunia imechange saiv
Ndo yale yale ya U CCm uliko mioyoni mwenu mpaka mnaua wapinzanikuna udini wa kiwango kibaya sana ndani ya mioyo ya baadhi ya waamini dini [emoji205]
Festo Francis Makambula (34)
Rashid Bandei Kiupi (49)
FafanuaUna weza kukuta kaka nae alikuwa mke mweza maana Dunia imechange saiv
Ni wapi hii wila ikoKijiji cha Mululu Wilaya ya kipolisi Ruhembe mkoani Morogoro
Ipo moshi kilimanjaroNi wapi hii wila iko