Amuua shemeji yake kisa hataki dada yake aolewe

Amuua shemeji yake kisa hataki dada yake aolewe

Ipo moshi kilimanjaro

Mkuu hujalazimishwa kujibu kama huna nia ya kusaiidia ukinyamaza ni busara
1740134328218.png
 
Hapo mwisho umeandikiwa mkoani morogoro au huoni?
Morogoro ni pana sana ina wilaya nyingi
  1. Morogoro
  2. Mvomero
  3. Kilosa
  4. Kilombero
  5. Malinyi
  6. Ulanga
  7. Mahenge
  8. Gairo
Ndiyo nataka kujua ni wapi specifically hiyo Ruhembe ipo
 
Msihukumu ili suala ni zito na ni gumu fikilia ww dada yako aolewe nawislam akifa huruhusiwi kumuaga, au akiongeeza mke dada yako anakuja kukulia kaka yake mambo ya DINI ni mazito ndio mana dada yangu alipata mchumba mwislam nikamkataza akaweka uzibe nikaamua nimpelekee chuo akasomee kozi nyingine akiludi home field anakuwa counter kwa bar yangu yule shekhe akaondoka YESU AKAJALIA AMEOLEWA NA MKRISTO MWENZIE

M NAKWAMBIA huyu sis nilikuwa nikienda Moshi ndio demu wangu aisee siku kaka kanikuta nae alifyum NKAMWAMBIA anakutom..nnn mbona sielewi

AKASEMA hamna ana WIVU...kesho yake nkaita MADOGO janja wangu
Nkaita Binti kaka sijui nani kamwambia Niko bat hio HUYO..alipoona MADOGO wamejaa akawa mdogo akaaa bar akamwita mdogo wake

Clara akaaga naomba nikamsikilixe nkajibu sawa kaenda anakwambia hataki kumwona

NKAMWAMBIA ASUBURIE NIKAITA GARI AKAINGIA KWENYE GARI MADOGO WAMEKAA TU WANAMZOOM NKAENDA GUEST KABLA YA KUGONGA NKACHUKUA SIMU YAKE NKAMWEKA KINDEGE SAA 12 NKAMRUDISHA KWAO

KESHO YAKE SAME KAKANYAGA MOTO LODGE KULA KUNYWA....GONGA MPAKA 12
NXTY DAY SAME AISEE ALIPONIONA SIKUYATATU NKAMRUDISHA DADAKE NKAONA NAITWA SHEMEJI HATUNYWI MBILITATU

BADAAE NKAWA PEKEYANGU NDIO AKAJA JAMAA MMOJA AKASEMA HAHAHAA UNAMOYO YULE BR ANAKULA DADAKE NDIO MAANA ALIKUWA ANAKAUMAINDI SANA

LOH

SIJARUDI TENA
Sasa mkuu na wewe ungeuliwa na huyo Kaka mtu, kwasababu siyo vuzur kitamaduni za Afrika kujionyesha kwa Kaka wa demu wake unatembea na dada yao tena hujajitambulisha kwao hiyo inakua dharau, no vizur ukianzisha Mahusiano na demu inatakiwa Kaka zake wasikujue ila Dada zake ndiyo wakujue.
 
Wazee wivu wa hivi kwa dada zenu mnatoa wapi?

=====

Jeshi la Polisi limemkamata Festo Francis Makambula (34) Mkulima na Mkazi wa Kijiji cha Mululu Wilaya ya kipolisi Ruhembe mkoani Morogoro kwa tuhuma ya kumuua Rashid Bandei Kiupi (49) mlinzi wa kampuni ya Stigmatin.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama amesema tukio hilo limebainika Februari 18, 2025 eneo la Mlulu-Kisanga ambapo mtuhumiwa alimvamia Rashid ambaye ni mpenzi wa Dada yake wakati akielekea kazini majira ya asubuhi na kumshambulia kisha kumchoma kisu kifuani na kupelekea kifo chake.

Uchunguzi wa awali umebaini chanzo cha tukio hilo ni ugomvi unaohusiana na mahusiano ya kimapenzi ambapo mtuhumiwa hakukubaliana na Rashid (marehemu) kumuoa dada yake.
View attachment 3243902
Kuna kitu kimejificha hapo si bure.

Huenda pia marehemu alikuwa anamtambia mshitakiwa.
 
Nawaza kwa sauti ingekuwa ni Rashid ndio kamuuwa Festo kelele za wavimba macho zingekuwa nyingi sana.Ni muuaji lakini anatafutiwa sababu.Chuki ni ugonjwa.
 
Back
Top Bottom